Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh daraja langu limepanda hahh

Hahaha, nimeona ili tuheshimiane inabidi tuweke madaraja. Kabla ya mtu kukomenti au kureply kommenti ajue anaongea na wakina nani.

1. Kwa jobless ambaye hajafanya maombi ya kazi, huyo ni JOBLESS DARAJA LA 0

2. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika ila hajapita kwenda usaili wa mahojiano, huyo ni JOBLESS DARAJA LA III

3. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika na akapita kwenda usaili wa mahojiano ila anasubiri placements, huyo ni JOBLESS DARAJA LA II Mwifwa

4. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika na akapita kwenda usaili wa mahojiano huko nako akapita ila ameambiwa asubiri kwanza mpaka ajulishwe tarehe ya kuripoti, huyo ni JOBLESS DARAJA LA I meck pro

MUHIMU
Ujobless na daraja husika vitakuwa vikikomaa au kuporomoka kulingana na muda. Kwa mfano

JOBLESS DARAJA la pili ambao ni wakongwe sana wataanza na A, B, C, D (kama plate number za magari)

Jobless akiitwa Oral na placement zikatoka hayupo na hana placement wala Written anayosikilizia, automatically anaporomoka mpaka kwenye daraja la 0.
 

Hahaha! Hapa sasa tunaweza kukuruhusu ukajiapiza, sio kile kiapo cha mwanzo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji3516]
Imajini Lejendari wa UMAJOTA (UMOJA WA MAJOBLESS TANZANIA) umeitwa zako Interview,
Mmepiga "Oro" mtu 5, nafasi 2.

Umerudi zako kitaa kusikilizia placement,
Miezi miwili imekata hakuna placement,
Ghafla tu unakuja kuona ile post mnayoisubiria wamei_readvertise nafasi 1.
Ina maana hapo kuna mmoja amepatikana, ila placement haijatoka!!!

Ni mwendo wa kudufuliwa Ndoige za mbavu tu aisee!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhhh jobless mmepigwa jabu ya mbavu aseeeh vipi status inasomaje huko?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Utumishi wanatukanda kinyama yani sema jobless hatukati tamaa unaomba tena mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…