HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh daraja langu limepanda hahh
Hahaha, nimeona ili tuheshimiane inabidi tuweke madaraja. Kabla ya mtu kukomenti au kureply kommenti ajue anaongea na wakina nani.
1. Kwa jobless ambaye hajafanya maombi ya kazi, huyo ni JOBLESS DARAJA LA 0
2. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika ila hajapita kwenda usaili wa mahojiano, huyo ni JOBLESS DARAJA LA III
3. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika na akapita kwenda usaili wa mahojiano ila anasubiri placements, huyo ni JOBLESS DARAJA LA II Mwifwa
4. Kwa jobless ambaye amefanya maombi ya kazi na akaitwa usaili wa kuandika na akapita kwenda usaili wa mahojiano huko nako akapita ila ameambiwa asubiri kwanza mpaka ajulishwe tarehe ya kuripoti, huyo ni JOBLESS DARAJA LA I meck pro
MUHIMU
Ujobless na daraja husika vitakuwa vikikomaa au kuporomoka kulingana na muda. Kwa mfano
JOBLESS DARAJA la pili ambao ni wakongwe sana wataanza na A, B, C, D (kama plate number za magari)
Jobless akiitwa Oral na placement zikatoka hayupo na hana placement wala Written anayosikilizia, automatically anaporomoka mpaka kwenye daraja la 0.