Yeap Ukimbiwa Tutakupa Mwaka Ujao wa Fedhaa
Mwaka 2016, wakati ajira mpya zinasitishwa, kuna jobless walikuwa na barua za ajira mikoni. Mpaka leo bado wanaona kama muujizaYeap Ukimbiwa Tutakupa Mwaka Ujao wa Fedhaa.
duuuh kupata kazi ni kazi kama kazi zingine lakini yote heri tunaendelea kuishiMwaka 2016, wakati ajira mpya zinasitishwa, kuna jobless walikuwa na barua za ajira mikoni. Mpaka leo bado wanaona kama muujiza
Hahahaha, tena zile pesa zilitokanana na madini, maprof wetu walivyo na njaa kukohoa pale isingewezekanaHahaha! Mkuu, natamani niongee zaidi kuhusu ile tume ila itoshe tu kusema pesa ni kitu cha hatari japo tunatembea nacho mifukoni.
Itokee hivyo halafu unabarua mkononi, noma sana[emoji3][emoji3]Kwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?
Nafikiri mwakani sasa hawata ajili kabisa kwa mtindo huuMaandalizi ya Bajeti ya Mishahara: Maandalizi ya bajeti ya mishahara
yamekuwa yakizingatia miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR – MUUB) na
Wizara ya Fedha na Mipango. Pamoja na maandalizi hayo, kumekuwa na
changamoto ya mahitaji makubwa ya masuala ya mishahara ikilinganishwa na bajeti
halisi inayoidhinishwa
1.6.Maandalizi ya Bajeti ya Mishahara: Maandalizi ya bajeti ya mishahara
yamekuwa yakizingatia miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR – MUUB) na
Wizara ya Fedha na Mipango. Pamoja na maandalizi hayo, kumekuwa na
changamoto ya mahitaji makubwa ya masuala ya mishahara ikilinganishwa na bajeti
halisi inayoidhinishwa
JK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulainiUmeiweka vyema sana, watu huwa hawajiulizi why JPM alisitisha ajira mpya & promotion mwaka 2016
😂😂😂😂Lazima uone umerogwa hapoItokee hivyo halafu unabarua mkononi, noma sana[emoji3][emoji3]
Hapo ndo huwa sielewi yule mzee hela alikuwa anazitoa wapi aseehJK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulaini
Lakini hizi ajira zinazopita utumishi mbona chache sana kulinganisha na zile za ualimu ,lakini wenzetu wale mbona hawana usumbufu kama sisi?1.6.
Maandalizi ya Bajeti ya Mishahara
92.
Wakati wa kuandaa ikama na bajeti ya mishahara kwa Mwaka 2023/24,
Maafisa Masuuli wanaelekezwa yafuatayo:
(i)
Kutoajiri watumishi wapya hadi kuthibitisha upungufu uliopo na iwapo
kuna waliozidi wahamishiwe sehemu zenye upungufu ili kuhakikisha uwepo
wa msawazo wa watumishi (Manning Level);
(ii)
Kutenga bajeti ya upandishaji vyeo, ajira mpya, ubadilishaji kada/kazi, nafasi
za kuhamia na uteuzi kwa kuzingatia Mwongozo wa Katibu Mkuu (ORMUUB) kuhusu uandaaji wa ikama na makadirio ya bajeti ya mishahara kwa
Mwaka 2023/24;
(iii)
Kujumuisha nyongeza ya mwaka ya mishahara (annual increment) katika
bajeti ya mishahara kwa mwaka 2023/24 kulingana na ukomo wa bajeti
uliopo;
(iv)
Kuhakikisha kila mtumishi anachangiwa katika Mfuko wa Pensheni na
Hifadhi ya Jamii kwa kiwango sahihi kinachotakiwa kwa mujibu wa sheria ili
kuepuka tozo inayotakana na ucheleweshaji wa mchango.
Alikutana na wakati tu, baada ya Ben kuimarisha uchumi na kuanzisha taasisi imara za serikali kama TRA, baada ya hapo ilikua ni kuanzisha vyuo vikuu na kuajiri kwa mikupuo.JK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulaini
Lakini watu siwanasitafu kila mwaka kwahiyo magepu lazima yawepo tuAlikutana na wakati tu, baada ya Ben kuimarisha uchumi na kuanzisha taasisi imara za serikali kama TRA, baada ya hapo ilikua ni kuanzisha vyuo vikuu na kuajiri kwa mikupuo.
Wage bill imekua ikikua mwaka hadi mwaka, toka ilipofanyika redundancy, nadhani now inaelekea kwenye climax then labda ije ifanyike redunducy au miujiza ya ukuaji uchumi, maana hakuna ajira mkupuo toka mwaka 2015.
Serikali hayo magepu ndo inayataka ili ipunguze kulipa mishahara jobless wewe hayo magepu hayana faida kwako🤣🤣🤣Lakini watu siwanasitafu kila mwaka kwahiyo magepu lazima yawepo tu
Wanaositaafu leo, walioajiriwa miaka zaidi ya 30 iliyopita, chuo kikuu kikiwa kimoja, nafasi za ajira nyingi na wasomi wachache. Leo hali ikoje? Akistaafu mtumishi moja, kuna vijana kama 1000 wanashindanishwa kupata nafasi yake.Lakini watu siwanasitafu kila mwaka kwahiyo magepu lazima yawepo tu
😂😂😂😂Hutaki kutufariji majobless aseeh hahhhSerikali hayo magepu ndo inayataka ili ipunguze kulipa mishahara jobless wewe hayo magepu hayana faida kwako🤣🤣🤣
😂😂😂😂Kwenye maisha mwendo wa ngiri kukimbizana tu Sasa tufanyaje wazee na mitaji hatuna?Wanaositaafu leo, walioajiriwa miaka zaidi ya 30 iliyopita, chuo kikuu kikiwa kimoja, nafasi za ajira nyingi na wasomi wachache. Leo hali ikoje? Akistaafu mtumishi moja, kuna vijana kama 1000 wanashindanishwa kupata nafasi yake.
Hahaha plus population inazidi kuwa kubwa, mzigo wa kutoa huduma za kijamii unazidi kuwa mkubwa, lakini walipa kodi hawafiki hata milioni 3.😂😂😂😂Kwenye maisha mwendo wa ngiri kukimbizana tu Sasa tufanyaje wazee na mitaji hatuna?
😂😂😂aseeh ningejuaga zamani niwe mfugaji tuHahaha plus population inazidi kuwa kubwa, mzigo wa kutoa huduma za kijamii unazidi kuwa mkubwa, lakini walipa kodi hawafiki hata milioni 3.
Za Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chacheLakini hizi ajira zinazopita utumishi mbona chache sana kulinganisha na zile za ualimu ,lakini wenzetu wale mbona hawana usumbufu kama sisi?