Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Maandalizi ya Bajeti ya Mishahara: Maandalizi ya bajeti ya mishahara
yamekuwa yakizingatia miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR – MUUB) na
Wizara ya Fedha na Mipango. Pamoja na maandalizi hayo, kumekuwa na
changamoto ya mahitaji makubwa ya masuala ya mishahara ikilinganishwa na bajeti
halisi inayoidhinishwa
 
Nafikiri mwakani sasa hawata ajili kabisa kwa mtindo huu
 
Maandalizi ya Bajeti ya Mishahara: Maandalizi ya bajeti ya mishahara
yamekuwa yakizingatia miongozo na nyaraka mbalimbali zinazotolewa na Ofisi ya
Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (OR – MUUB) na
Wizara ya Fedha na Mipango. Pamoja na maandalizi hayo, kumekuwa na
changamoto ya mahitaji makubwa ya masuala ya mishahara ikilinganishwa na bajeti
halisi inayoidhinishwa
1.6.
Maandalizi ya Bajeti ya Mishahara
92.
Wakati wa kuandaa ikama na bajeti ya mishahara kwa Mwaka 2023/24,
Maafisa Masuuli wanaelekezwa yafuatayo:
(i)
Kutoajiri watumishi wapya hadi kuthibitisha upungufu uliopo na iwapo
kuna waliozidi wahamishiwe sehemu zenye upungufu ili kuhakikisha uwepo
wa msawazo wa watumishi (Manning Level);
(ii)
Kutenga bajeti ya upandishaji vyeo, ajira mpya, ubadilishaji kada/kazi, nafasi
za kuhamia na uteuzi kwa kuzingatia Mwongozo wa Katibu Mkuu (ORMUUB) kuhusu uandaaji wa ikama na makadirio ya bajeti ya mishahara kwa
Mwaka 2023/24;
(iii)
Kujumuisha nyongeza ya mwaka ya mishahara (annual increment) katika
bajeti ya mishahara kwa mwaka 2023/24 kulingana na ukomo wa bajeti
uliopo;
(iv)
Kuhakikisha kila mtumishi anachangiwa katika Mfuko wa Pensheni na
Hifadhi ya Jamii kwa kiwango sahihi kinachotakiwa kwa mujibu wa sheria ili
kuepuka tozo inayotakana na ucheleweshaji wa mchango.
 
Lakini hizi ajira zinazopita utumishi mbona chache sana kulinganisha na zile za ualimu ,lakini wenzetu wale mbona hawana usumbufu kama sisi?
 
JK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulaini
Alikutana na wakati tu, baada ya Ben kuimarisha uchumi na kuanzisha taasisi imara za serikali kama TRA, baada ya hapo ilikua ni kuanzisha vyuo vikuu na kuajiri kwa mikupuo.

Wage bill imekua ikikua mwaka hadi mwaka, toka ilipofanyika redundancy, nadhani now inaelekea kwenye climax then labda ije ifanyike redunducy au miujiza ya ukuaji uchumi, maana hakuna ajira mkupuo toka mwaka 2015.
 
Lakini watu siwanasitafu kila mwaka kwahiyo magepu lazima yawepo tu
 
Wanaositaafu leo, walioajiriwa miaka zaidi ya 30 iliyopita, chuo kikuu kikiwa kimoja, nafasi za ajira nyingi na wasomi wachache. Leo hali ikoje? Akistaafu mtumishi moja, kuna vijana kama 1000 wanashindanishwa kupata nafasi yake.
😂😂😂😂Kwenye maisha mwendo wa ngiri kukimbizana tu Sasa tufanyaje wazee na mitaji hatuna?
 
Lakini hizi ajira zinazopita utumishi mbona chache sana kulinganisha na zile za ualimu ,lakini wenzetu wale mbona hawana usumbufu kama sisi?
Za Tamisemi (Ualimu na afya)huwa zinatoka kwa Mkupuo haijalishi n nying au chache
Ila Hawana mchakato mrefu kama Hapo utumishi.
Tamisemi Hawafany Usaili.
Ku attach vyeti then mkeka unatoka,Unaend kazini.
Huku Utume,Uwe shortlisted,Ukafany Usaili, Wapitie matokeo na Sifa Zingine, Then Placement, Uchukue Barua N kPeleka Kwa Mwajiri. Kuna wengine Wanaend Tena kwny Mafunzo, Usubiri cheque No kutoka Hazina.Mwajiri Akujulishe Lin Unanzaa kazi,
Hapo Bado Ajira Yako Ipo Kwny Mzani Haijakamilika N Mpka uanzee kazi Na Upoke Barua ya Kudhibitishwa Kazini au Ufanye Zaidi ya miez 6.Baada ya kuonekan Unafany kazi kwa ufanisi Na kutimiza majukumu yako ukizingua Unamwaga Anaitwa wa Database.
Ndo Maan LifeSpan Ya Data Base Ni 6 Months.Hiyo sababu moja wapo.
 
Back
Top Bottom