ππππHahhhh achana na selected Kuna hiyo baba jeni bye bye inakuwa na red colour aseeh ile inaharibu sana ubongoTunapoteza muda ili jumanne ifike tuone pdf na tukitoka huku kwenye mchakato wa ajira tunarudi kule kwenye STATUS kama ni SELECTED. au baba jeni bye bye By Wizy.....
Haha ss kama uko not selected bado unahangaika kuangalia status tena π€£π€£π€£ππππHahhhh achana na selected Kuna hiyo baba jeni bye bye inakuwa na red colour aseeh ile inaharibu sana ubongo
Yes yes siku nikijakupewa hiyo aseeh nitakuja kuwasimulia hukuπππππNyie ni ndugu zanguYa ni namba id ya muajiriwa wa utumishi wa umma...inatolewa hazina kwa ajili ya kusajiliwa na kutambulika kwenye payroll ya watumishi
ππππKuna hiyo kwenye web inaandika shortlisted afu kwenye app not selected sasa ni balaa ndo tunasubiri pdf mzeeHaha ss kama uko not selected bado unahangaika kuangalia status tena π€£π€£π€£
Kakandwa huyo π€£π€£ππππKuna hiyo kwenye web inaandika shortlisted afu kwenye app not selected sasa ni balaa ndo tunasubiri pdf mzee
πππππHahhhh unatoa Siri kwa jobless unataka wafe na presha mzee?Kakandwa huyo π€£π€£
Kila mmoja enzi za JK alikula kwa urefu wa kamba yakeHapo ndo huwa sielewi yule mzee hela alikuwa anazitoa wapi aseeh
daaah haya mambo sio poa aseehKila mmoja enzi za JK alikula kwa urefu wa kamba
Kuna tozo siku hizi, inakata kote kote haijalishi tajiri wala masikini.Hahaha plus population inazidi kuwa kubwa, mzigo wa kutoa huduma za kijamii unazidi kuwa mkubwa, lakini walipa kodi hawafiki hata milioni 3.
Ungejua hujuiningesoma ualimu Mimi jamani Kwa kweli
Huenda ningekua nakula asali mie[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asante mtu wa utumishi kuja kutupa madini ya kutosha nimesoma yote na nimeelewa hatuwasemi Tena SEMA mpunguze kutukanda kidogo
Hayo ni marupu rupu mkuuHv wadau kuna walamba Asali huwaga kuna neno nawasikia wakilitumia PER DIEM ,hv hilo neno huko kwenye asali lina maana gani?
Sikupata mkuu kote Tamisemi na Wizarani, Niliomba mwaka 2021 na 2022, kote sikupata.***** mie ningekua hata mbeya huko mwalimu nipo nalima na mpunga kama wote dadeki gunia kama mia 600 ndani aisee nikaenda kusoma vitu vinataka interview Sasa SEMA huyu jobless mwifa SI amesoma afya huyu au Ajira za mkupuo haombagi yeye
ππππUmesoma yale madini mzee?zile status bhna Zina maana yake ila maana yake ndo hatujaambiwa sasa hahhh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe kuna Watu wanafaidi sana hiz pesa,Hayo ni marupu rupu mkuu
Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam
Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z
Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi
Mfano safari ni ya siku 3
Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz
Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi
Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga
Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
π€£π€£π€£Hayo ni marupu rupu mkuu

πππππHahhhh jobless wanaanza kumuita FreemasonHayo ni marupu rupu mkuu
Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam
Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z
Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi
Mfano safari ni ya siku 3
Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz
Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi
Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga
Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
Duh pole sana aisee vip hawatoi Tena hivi karibuni?Sikupata mkuu kote Tamisemi na Wizarani, Niliomba mwaka 2021 na 2022, kote sikupata.
Sema mwaka huu nilikuwa na matumaini sana ya kupata Tamisemi ila nikaja kujua kuwa nilikuwa sijui.
Ningepata, muda kama huu ningekuwa nakula mema ya royo tua huko vijijini bila usumbufu wa kugawiwa maji(kutokana na uzoefu wangu wa kukulia na kuishi kijijini kabla shule haijanileta mjini)