Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tunapoteza muda ili jumanne ifike tuone pdf na tukitoka huku kwenye mchakato wa ajira tunarudi kule kwenye STATUS kama ni SELECTED. au baba jeni bye bye By Wizy.....
😂😂😂😂Hahhhh achana na selected Kuna hiyo baba jeni bye bye inakuwa na red colour aseeh ile inaharibu sana ubongo
 
Haha ss kama uko not selected bado unahangaika kuangalia status tena 🤣🤣🤣
 
Ya ni namba id ya muajiriwa wa utumishi wa umma...inatolewa hazina kwa ajili ya kusajiliwa na kutambulika kwenye payroll ya watumishi
Yes yes siku nikijakupewa hiyo aseeh nitakuja kuwasimulia huku😂😂😂😂😂Nyie ni ndugu zangu
 
Haha ss kama uko not selected bado unahangaika kuangalia status tena 🤣🤣🤣
😂😂😂😂Kuna hiyo kwenye web inaandika shortlisted afu kwenye app not selected sasa ni balaa ndo tunasubiri pdf mzee
 
Hahaha plus population inazidi kuwa kubwa, mzigo wa kutoa huduma za kijamii unazidi kuwa mkubwa, lakini walipa kodi hawafiki hata milioni 3.
Kuna tozo siku hizi, inakata kote kote haijalishi tajiri wala masikini.

Data za wamiliki simu, zilitolewa juzi wakati wa kutangazwa matokeo ya Sensa?
 
Hv wadau kuna walamba Asali huwaga kuna neno nawasikia wakilitumia PER DIEM ,hv hilo neno huko kwenye asali lina maana gani?
Hayo ni marupu rupu mkuu

Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam

Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z

Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi

Mfano safari ni ya siku 3

Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz

Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi

Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga

Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
 
***** mie ningekua hata mbeya huko mwalimu nipo nalima na mpunga kama wote dadeki gunia kama mia 600 ndani aisee nikaenda kusoma vitu vinataka interview Sasa SEMA huyu jobless mwifa SI amesoma afya huyu au Ajira za mkupuo haombagi yeye
Sikupata mkuu kote Tamisemi na Wizarani, Niliomba mwaka 2021 na 2022, kote sikupata.

Sema mwaka huu nilikuwa na matumaini sana ya kupata Tamisemi ila nikaja kujua kuwa nilikuwa sijui.

Ningepata, muda kama huu ningekuwa nakula mema ya royo tua huko vijijini bila usumbufu wa kugawiwa maji(kutokana na uzoefu wangu wa kukulia na kuishi kijijini kabla shule haijanileta mjini)
 
Hayo ni marupu rupu mkuu

Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam

Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z

Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi

Mfano safari ni ya siku 3

Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz

Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi

Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga

Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
Kumbe kuna Watu wanafaidi sana hiz pesa,
hv na Rais naye anapewaga hizi pesa maana yeye na timu yake wanasafir mpaka bhaaas
 
Hayo ni marupu rupu mkuu

Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam

Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z

Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi

Mfano safari ni ya siku 3

Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz

Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi

Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga

Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwifwa anaombaga tu sema tatizo hana mjomba Tamisemi hahhh
Hahahahaaaa.

Wale wenye wajomba huko wakipata wanaanza kuzisusa na kurudi kuja kupambama huku Utumishi tena, sijui mrija wa tamisemi mchungu!!
 
Hayo ni marupu rupu mkuu

Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam

Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z

Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi

Mfano safari ni ya siku 3

Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz

Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi

Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga

Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
😂😂😂😂😂Hahhhh jobless wanaanza kumuita Freemason
 
Sikupata mkuu kote Tamisemi na Wizarani, Niliomba mwaka 2021 na 2022, kote sikupata.

Sema mwaka huu nilikuwa na matumaini sana ya kupata Tamisemi ila nikaja kujua kuwa nilikuwa sijui.

Ningepata, muda kama huu ningekuwa nakula mema ya royo tua huko vijijini bila usumbufu wa kugawiwa maji(kutokana na uzoefu wangu wa kukulia na kuishi kijijini kabla shule haijanileta mjini)
Duh pole sana aisee vip hawatoi Tena hivi karibuni?
 
Back
Top Bottom