Green Beret
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 631
- 991
Kumbe kuna Watu wanafaidi sana hiz pesa,
hv na Rais naye anapewaga hizi pesa maana yeye na timu yake wanasafir mpaka bhaaas
Kuna mwamba alipigiwa simu kabisa akaripoti kazini maisha sio fairHahahahaaaa.
Wale wenye wajomba huko wakipata waanza kuzisusa na kurudi kuja kupambama huku Utumishi tena, sijui mrija wa tamisemi mchungu!!
Habari ndio hiyo jobless mwandamiziKwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?
Hata wewe ungekuwa huko usingewaza hivi, kule ni kutamu mkuu asikuambie mtu!!!Serkali ipunguze maposho yasio na ulazima kusave pesa na wananchi wengine waajiriwe tufaidi sote keki ya taifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iache kutangaza matokeo ya sensa kwa helkopta
Acha niwe mpole tu ujobless ni ulemavu kama ulemavu mwingine πHabari ndio hiyo jobless mwandamizi
πππAnataka walie njaa kama sisiHata wewe ungekuwa huko usingewaza hivi, kule ni kutamu mkuu asikuambie mtu!!!
Kati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.Alivuruga mfumo wa ajira mpk ss mambo magumu nyomi kubwa mno lipo kitaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sure aseeh asaivi ningekuwa nimeoa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akafanya nikaachwa
Yani alitukusanya halafu hakuwa na plan yajinsi gani atatuondoa mtaaniKati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuachwasure aseeh asaivi ningekuwa nimeoa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akafanya nikaachwa
Si mlikuwa mnamtukana eti mr kucheka cheka mara Vasco da Gama ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtakula mlipopeleka mboga , ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ndo huwa sielewi yule mzee hela alikuwa anazitoa wapi aseeh
ππππSio kuachwa tu ni kuachwa kwa maneno makali demu ananiambia una gari wewe?haya na tukipata watoto hao watoto watakula degree?mamaeeee hahhhh π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππππTumekoma sisi tumekoma kwakweliii tusamehewe sanaaSi mlikuwa mnamtukana eti mr kucheka cheka mara Vasco da Gama ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtakula mlipopeleka mboga , ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji189][emoji189][emoji189][emoji189][emoji189][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Serikali hayo magepu ndo inayataka ili ipunguze kulipa mishahara jobless wewe hayo magepu hayana faida kwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hicho kitu kilichokosewa walielezwa? na kweli kilikuwa kimekosewa?2013 kuna wale jamaa wa SUA wanasoma LAB, waliajiriwa kupitia sekritariati, wakapangiwa vituo vya kazi kada ya afya, HRs wakawapa barua za ajira ile inaonyesha hadi mshahara, walipopandisha paticulars zao kwenye mfumo (LAWSON) wakawaambia course waliosoma haitambuliwi na mfumo. HRs wakawaita wakawaambia waje na barua za ajira kuna kitu kilikosewa, ndo asali ikawa imeyuka hivyo.
ππππ Joline Kato fikiria fikiria kidogo tunaweza kutengeneza Jambo aseeh[emoji23][emoji23][emoji23]Kuachwa
Hahaa ualimu upi , kuna malaki ya walimu kitaa wasugua benchi miaka kartibia miaka 8 sasa ,ningesoma ualimu Mimi jamani Kwa kweli
Huenda ningekua nakula asali mie[emoji1787]
Lakini bora hao kazi zao hazina mambo mengi kama utumishiHahaa ualimu upi , kuna malaki ya walimu kitaa wasugua benchi miaka kartibia miaka 8 sasa ,
Hii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hayo ni marupu rupu mkuu
Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam
Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z
Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi
Mfano safari ni ya siku 3
Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz
Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi
Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga
Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!