Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kumbe kuna Watu wanafaidi sana hiz pesa,
hv na Rais naye anapewaga hizi pesa maana yeye na timu yake wanasafir mpaka bhaaas

Ndo maana watu wanapambania mkate wa taifa mkuu

Ndugu yetu mwifwa baada ya muda mfupi atakuwa mbali sana maana hio taasisi yake kwa safari tu inatosha kumlisha mwaka mzima
 
Hahahahaaaa.

Wale wenye wajomba huko wakipata waanza kuzisusa na kurudi kuja kupambama huku Utumishi tena, sijui mrija wa tamisemi mchungu!!
Kuna mwamba alipigiwa simu kabisa akaripoti kazini maisha sio fair
 
Serkali ipunguze maposho yasio na ulazima kusave pesa na wananchi wengine waajiriwe tufaidi sote keki ya taifa
Hata wewe ungekuwa huko usingewaza hivi, kule ni kutamu mkuu asikuambie mtu!!!
 
Alivuruga mfumo wa ajira mpk ss mambo magumu nyomi kubwa mno lipo kitaa
Kati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.
 
Kati ya vitu vilivyonifanya nimchukie yule mzee, ni hili la kujaza jobless mtaani bila kuwa na njia ya kulitatua.
Yani alitukusanya halafu hakuwa na plan yajinsi gani atatuondoa mtaani
 
Hapo ndo huwa sielewi yule mzee hela alikuwa anazitoa wapi aseeh
Si mlikuwa mnamtukana eti mr kucheka cheka mara Vasco da Gama ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtakula mlipopeleka mboga , ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si mlikuwa mnamtukana eti mr kucheka cheka mara Vasco da Gama ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtakula mlipopeleka mboga , ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂😂Tumekoma sisi tumekoma kwakweliii tusamehewe sanaa
 
Serikali hayo magepu ndo inayataka ili ipunguze kulipa mishahara jobless wewe hayo magepu hayana faida kwako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji189][emoji189][emoji189][emoji189][emoji189][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
2013 kuna wale jamaa wa SUA wanasoma LAB, waliajiriwa kupitia sekritariati, wakapangiwa vituo vya kazi kada ya afya, HRs wakawapa barua za ajira ile inaonyesha hadi mshahara, walipopandisha paticulars zao kwenye mfumo (LAWSON) wakawaambia course waliosoma haitambuliwi na mfumo. HRs wakawaita wakawaambia waje na barua za ajira kuna kitu kilikosewa, ndo asali ikawa imeyuka hivyo.
Hicho kitu kilichokosewa walielezwa? na kweli kilikuwa kimekosewa?
 
Hayo ni marupu rupu mkuu

Wewe ni mwajiriwa wa taasisi x ambayo ofisi zake zipo mjini daareselaam


Umepata safari ya kikazi kwenda mkoa z

Per diem: ni fedha unazopewa nje ya mshahara wako yaani fedha za matumizi

Mfano safari ni ya siku 3

Kwa siku utapewa kwa mfano laki 1 ya matumizi ya kulala kula na labda usafiri
Kwa hio utapewa laki 3 nje ya mshahara wako wa mwz

Fanya kama wewe ni baharia
Ukawa kwenye taasisi yenye safari za kila mara
Basi utakula hizo per diem mpaka useme basi

Ukiwa mjanja ndan ya mwaka una nyumba na ndinga

Mtaani wanakupa cheo cha freemason degree ya 33!
Hii komenti imezunguka sana kwenye serikali ya oblongata wangu hapa ikiwa inachambiliwa neno kwa neno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom