Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwani unadhani mtu unapenda bhas, yaan inakuja tu....we mwenyewe utaona🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani hiyo kama ipo automatically ukijaribu tu kuangalia siku moja ujue kila siku hiyo utaingalia
 
Kabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahaa, pole sana mkuu
 
Yani ndo nikawaza sana maana maombi nilimfanyia mimi [emoji23][emoji23][emoji23]nikasema au mimi Nina gundu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungemuomba namba ya mjomba wake then ukatupa sisi wengine nao turuke naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…