ππππππNgoja wakitoa zile za tamisemi lazima nimuulize njia alizopitia kama alienda kwa bibi tutaenda tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungemuomba namba ya mjomba wake then ukatupa sisi wengine nao turuke naye
Hahahahaa.[emoji28][emoji28][emoji28] weka mbali na watoto hiyo, stem cells lazima zishtuke kiaina
πππAfu kweli aseehHata sasa mkuu, tekeleza hilo
Daaahhh, tufocus kwanza kwenye kutafuta cheque namba mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaah we uhakika mzee wamesema pale per diem kila siku ushindwe wewe tu
Tuishi humo kiongoziDaaahhh, tufocus kwanza kwenye kutafuta cheque namba mkuu
Matumizi yatajileta menyewe tena yatakuwa mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo jobless nikipata hela naomba nisipangiwe matumizi
πππNdo yaje lakini nisiambiwe nitumie hela kwa mpangilio sasaMatumizi yatajileta menyewe tena yatakuwa mengi sana
Majukumu ya hapa na pale, tunaangaika juani
Hahahahaaa, noma sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale majengo tumeyajua kwa ulazima
Kweli kaka chamuhimu uzima tuMajukumu ya hapa na pale, tunaangaika juani
Hiyo itakuwa mbinu mojawapo ya mashambulizi kwenye battle[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja wakitoa zile za tamisemi lazima nimuulize njia alizopitia kama alienda kwa bibi tutaenda tu
πππ Utumishi hawana adabu wanakwambia utapajua tu kwa lazimaHahahahaaa, noma sana aisee.
Hata DUCE sikuwahi kufika tangu nije mjini mwaka 2012, ila nilipelekwa kupafahamu na Utumishi[emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi nimekuwa mwenyeji UDOM utafikiri niliwahi kusoma pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Utumishi hawana adabu wanakwambia utapajua tu kwa lazima
ππππZile theatre za CBSL na confusious zote ushatembelea hahhhSasa hivi nimekuwa mwenyeji UDOM utafikiri niliwahi kusoma pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utumishi wanatulazimu tufanye utalii wa ndani. Post = 1, watahiniwa = 1000ππππZile theatre za CBSL na confusious zote ushatembelea hahhh
Mkuu wale jamaa zako wa ORCI uliwapata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile theatre za CBSL na confusious zote ushatembelea hahhh
Kwa hisani ya PSRS nikajikuta nimezitembelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile theatre za CBSL na confusious zote ushatembelea hahhh
Hawaaa watakua washapigiwa simuMkuu wale jamaa zako wa ORCI uliwapata?
Tutaanza kumuita freemason bhanaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interview
Umejuaje mzeeHawaaa watakua washapigiwa simu