Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungemuomba namba ya mjomba wake then ukatupa sisi wengine nao turuke naye
😂😂😂😂😂😂Ngoja wakitoa zile za tamisemi lazima nimuulize njia alizopitia kama alienda kwa bibi tutaenda tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaah we uhakika mzee wamesema pale per diem kila siku ushindwe wewe tu
Daaahhh, tufocus kwanza kwenye kutafuta cheque namba mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja wakitoa zile za tamisemi lazima nimuulize njia alizopitia kama alienda kwa bibi tutaenda tu
Hiyo itakuwa mbinu mojawapo ya mashambulizi kwenye battle
 
Hahahahaaa, noma sana aisee.

Hata DUCE sikuwahi kufika tangu nije mjini mwaka 2012, ila nilipelekwa kupafahamu na Utumishi[emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Utumishi hawana adabu wanakwambia utapajua tu kwa lazima
 
Sasa hivi nimekuwa mwenyeji UDOM utafikiri niliwahi kusoma pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Zile theatre za CBSL na confusious zote ushatembelea hahhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh mzee sio siku nyingi tunaanza kukuita boss aseeh nawaza ningepata chance nikapige ile interview
Tutaanza kumuita freemason bhanaah
 
Back
Top Bottom