Kila kada ina muundo wake, muundo wa kada husika hutaja kabisa majina ya course ili kuajiriwa kwenye kada hizo. Hivyo, muundo ulikuwa huuwatambuii wahitimu wa SUA, the same story now kwenye portal, unaweza jiona unafit ila ukawa rejected wakati wa ku-apply kaziHicho kitu kilichokosewa walielezwa? na kweli kilikuwa kimekosewa?
Wameamua 'kunyonga' walaleWadau sijui wameenda wapi aseeh
Mbona leo watu mmelala mapema....? Kesho pdf la page zaidi ya 10 linatoka jiandaeni kwa baruaWameamua 'kunyonga' walale
Watu wamepigwa na butwaa[emoji1787][emoji1787]Mbona leo watu mmelala mapema....? Kesho pdf la page zaidi ya 10 linatoka jiandaeni kwa barua
Hata Sina uhakikaUkiwa umefeli hyo oral STATUS inaandikaje Kiongozi?
Hawawezi kutoa maana leo wametoaMbona leo watu mmelala mapema....? Kesho pdf la page zaidi ya 10 linatoka jiandaeni kwa barua
😂😂😂Wamekandwa kiongoziMbona leo watu mmelala mapema....? Kesho pdf la page zaidi ya 10 linatoka jiandaeni kwa barua
Inawezekana hata Leo wakatoa nyengineHawawezi kutoa maana leo wametoa
Muda wao ushapita wanawekaga jioni mpka saa tatu hiviInawezekana hata Leo wakatoa nyengine
Basi sawa tuombe uzima tu maana ujobless nao kama laana Fulani hivi kila mtu anakuona takataka
Wakati mwingine wanaona kama hatujasoma hiviHahaha! Wasioelewa wanaweza kuhisi labda mtu unachagua sana kazi au hujaelimika lakini kumbe uhalisia unakinzana sana na matarajio.
Leo wanaweka saa tisa usiku kama yanga wakivotambulisha wakina aziz kiMuda wao ushapita wanawekaga jioni mpka saa tatu hivi
Hahahaha, tena zile pesa zilitokanana na madini, maprof wetu walivyo na njaa kukohoa pale isingewezekana
😂😂😂😂Hahhhhh hebu kacheki status kabla haijashekiLeo wanaweka saa tisa usiku kama yanga wakivotambulisha wakina aziz ki
Vilevile😂😂😂😂Hahhhhh hebu kacheki status kabla haijasheki
Uhakika pdf inakusubiri mkuuVilevile
JK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulaini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani mtu unaweza kutajiwa pesa ambayo huna ujasiri wa kuweka ndoto ya siku moja kuja kuishika, kwa staili hiyo hata mlima ukiambiwa uuite mteremko unaita.
Kisha baadae unajenga hoja kwamba muda unauita mteremko wewe ulikuwa uko kileleni ndio unashuka kwa hiyo ulikuwa ni mteremko mkali.
Wakati mwingine wanaona kama hatujasoma hivi
Reference ni mzee wa Trab na TratMkuu, Serikali inakusanya pesa nyingi sana, pesa inakusanywa zaidi ya inayokusanywa na TRA, kuna vyanzo vingi kuliko tunavyodhani.
Shida kubwa ni namna wataalamu wetu waliopewa mamlaka wamekosa ubunifu wa vyanzo, namna ya kuvitumia, ubovu wa vipaumbele vya matumizi ya makusanyo na kibaya zaidi hata zinazokusanywa zinavuja.