basa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 253
- 380
Kila kada ina muundo wake, muundo wa kada husika hutaja kabisa majina ya course ili kuajiriwa kwenye kada hizo. Hivyo, muundo ulikuwa huuwatambuii wahitimu wa SUA, the same story now kwenye portal, unaweza jiona unafit ila ukawa rejected wakati wa ku-apply kaziHicho kitu kilichokosewa walielezwa? na kweli kilikuwa kimekosewa?