Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hicho kitu kilichokosewa walielezwa? na kweli kilikuwa kimekosewa?
Kila kada ina muundo wake, muundo wa kada husika hutaja kabisa majina ya course ili kuajiriwa kwenye kada hizo. Hivyo, muundo ulikuwa huuwatambuii wahitimu wa SUA, the same story now kwenye portal, unaweza jiona unafit ila ukawa rejected wakati wa ku-apply kazi
 
Hahahaha, tena zile pesa zilitokanana na madini, maprof wetu walivyo na njaa kukohoa pale isingewezekana

Yani mtu unaweza kutajiwa pesa ambayo huna ujasiri wa kuweka ndoto ya siku moja kuja kuishika, kwa staili hiyo hata mlima ukiambiwa uuite mteremko unaita.

Kisha baadae unajenga hoja kwamba muda unauita mteremko wewe ulikuwa uko kileleni ndio unashuka kwa hiyo ulikuwa ni mteremko mkali.
 
JK aliwezaje? Huku akina Bi Tibaijuka wakijinyakulia za mboga kiulaini

Mkuu, Serikali inakusanya pesa nyingi sana, pesa inakusanywa zaidi ya inayokusanywa na TRA, kuna vyanzo vingi kuliko tunavyodhani.

Shida kubwa ni namna wataalamu wetu waliopewa mamlaka wamekosa ubunifu wa vyanzo, namna ya kuvitumia, ubovu wa vipaumbele vya matumizi ya makusanyo na kibaya zaidi hata zinazokusanywa zinavuja.
 
Yani mtu unaweza kutajiwa pesa ambayo huna ujasiri wa kuweka ndoto ya siku moja kuja kuishika, kwa staili hiyo hata mlima ukiambiwa uuite mteremko unaita.

Kisha baadae unajenga hoja kwamba muda unauita mteremko wewe ulikuwa uko kileleni ndio unashuka kwa hiyo ulikuwa ni mteremko mkali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, Serikali inakusanya pesa nyingi sana, pesa inakusanywa zaidi ya inayokusanywa na TRA, kuna vyanzo vingi kuliko tunavyodhani.

Shida kubwa ni namna wataalamu wetu waliopewa mamlaka wamekosa ubunifu wa vyanzo, namna ya kuvitumia, ubovu wa vipaumbele vya matumizi ya makusanyo na kibaya zaidi hata zinazokusanywa zinavuja.
Reference ni mzee wa Trab na Trat
 
Back
Top Bottom