Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama ni zile post 3, watu walipigiwa simu mwezi uliopita. Mwanangu mmoja naye aliitwa akakacha interview ya NAOT ya 27Oct. Waliitwa watu 50 na wilaya yake walipangwa wanne.
Hahahahaaa.

Haya mambo ya simu sidhani kama yana mwisho mwema.

Watu wamekaa kusubiri PDF kumbe wengine hadi cheque namba washapewa.

Tukiendelea kulichekea hili jambo, mbeleni litatugharimu. Watu kupachikwa kwa mtindo huu ni rahisi sana, PDF watu huwa tunajuana huko kwenye oral na tukija kuona jina la fulani ambaye hakuwepo(ingawa wanaweza kusema katoka kanzi data) lazima tutahoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…