Sometimes hii issue ya status naona kama tunaleta utoto. Let's get serious guys yes we're joblessness lakini sio wapumbavu. Inasikitisha tunajadili issue ya status hali ya kua haijawahi define kitu chochote katika placement.Tushasema PDF ndio mchawi wa mwisho baada ya Oral, endeleeni tu kukomaa na status
Kaka unatufokea wakati bado hujapata kitengo, sipat picha ukipata halafu urud humu utakavyofokaSometimes hii issue ya status naona kama tunaleta utoto. Let's get serious guys yes we're joblessness lakini sio wapumbavu. Inasikitisha tunajadili issue ya status hali ya kua haijawahi define kitu chochote katika placement.
We're better than this kukosa kazi haimaanishi kua hatuna akili ya kujua issue za msingi na upumbavu.
Kaka unatufokea wakati bado hujapata kitengo, sipat picha ukipata halafu urud humuutakavyofokaSometimes hii issue ya status naona kama tunaleta utoto. Let's get serious guys yes we're joblessness lakini sio wapumbavu. Inasikitisha tunajadili issue ya status hali ya kua haijawahi define kitu chochote katika placement.
We're better than this kukosa kazi haimaanishi kua hatuna akili ya kujua issue za msingi na upumbavu.
Jobless siku zote ni sawa mkuuJOBLESS JUMAPILI NA JUMATATU ZOTE SAWA!
Sahihi mkuuSometimes hii issue ya status naona kama tunaleta utoto. Let's get serious guys yes we're joblessness lakini sio wapumbavu. Inasikitisha tunajadili issue ya status hali ya kua haijawahi define kitu chochote katika placement.
We're better than this kukosa kazi haimaanishi kua hatuna akili ya kujua issue za msingi na upumbavu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka unatufokea wakati bado hujapata kitengo, sipat picha ukipata halafu urud humu utakavyofoka
Nitawameza kabisa πππ.Kaka unatufokea wakati bado hujapata kitengo, sipat picha ukipata halafu urud humu utakavyofoka
Ikiwezekana uingie na fimbo kabisa uwachape[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sometimes kuna mambo yanakulazimu ufoke aisee
Jana huyu @Bkwepu alitema madini sana humu, inabidi mambo kama hayo yawepo sana ila jokes pia isikosekane lakini isiwe ile ya kuaminishana vitu ambayo hivipoNitawameza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].
Seriously we need to address real issues hapa kuna watu wazito sana. Tujadili mambo yana tija kwa jobless society sio kuaminishana upumbavu kwa makusudi.
Yule JOBLESS huko juu aliyesema ukiingia oral na wanawake, andika maumivu ila labda pawe na nafasi nyingi na wanawake wawe wachache, sasa imeanza kuthibitika.
Tuendelee kukomaa hivyo hivyo
Kwenye app alikuaa inaandikajeWale wa status m ilikuwa inaandika shortlisted nimekosa
πππHahhhh kwamba anafokea jobless wenzieKaka unatufokea wakati bado hujapata kitengo, sipat picha ukipata halafu urud humu utakavyofoka
ππππoya wamesema tusiongelee status utafokewa sasaivi uanze kulia hapaKwenye app alikuaa inaandikaje
Kweli kaka humu Kuna wataalam wa kutoshaNitawameza kabisa πππ.
Seriously we need to address real issues hapa kuna watu wazito sana. Tujadili mambo yana tija kwa jobless society sio kuaminishana upumbavu kwa makusudi.
Nafikiri @Bkwepu aliongea vizuri unajua hivi vitu tunajifunza lakini hizi ishu asikudanganye mtu status ina maana yake unaporun system yoyote kwenye programming kila kitu kinachoandikwa kina maana sema maana yake ndo hatuijua na jamaa jana alichotuambia zile status Zina maana lakini ile maana yule anaetumia system ndie anaejua ile status ina maaana gani kwasababu naweza kuprogramme kuwa ukifeli system ikuandikie shortlistedJana huyu @Bkwepu alitema madini sana humu, inabidi mambo kama hayo yawepo sana ila jokes pia isikosekane lakini isiwe ile ya kuaminishana vitu ambayo hivipo
Huyu mjuba jobless mwenzetu aliekosa adowload app ya utumishi angalie kwenye app iliandikaje, tupo katika kutafuta meaning ya status, asa mchiz unakaa unasubir mkeka kumbe watu washalambishwaNafikiri @Bkwepu aliongea vizuri unajua hivi vitu tunajifunza lakini hizi ishu asikudanganye mtu status ina maana yake unaporun system yoyote kwenye programming kila kitu kinachoandikwa kina maana sema maana yake ndo hatuijua na jamaa jana alichotuambia zile status Zina maana lakini ile maana yule anaetumia system ndie anaejua ile status ina maaana gani kwasababu naweza kuprogramme kuwa ukifeli system ikuandikie shortlisted
πππHahhhh amna hapa tunasubiri pdf lakini kusema kuwa status hazina maana hiyo siyo sawa zile Zina maana yake lakini hizo maana zake ndo hatuzijui kwahiyo tufocus kwenye pdf mzeeHuyu mjuba jobless mwenzetu aliekosa adowload app ya utumishi angalie kwenye app iliandikaje, tupo katika kutafuta meaning ya status, asa mchiz unakaa unasubir mkeka kumbe watu washalambishwa
Nionyeshe Status iliyoandikwa Employed au mtu aliyepata ajira kupitia notification ya status nikuonyeshe video ya Majaliwa akifungua mlango wa ndege na kasia.Huyu mjuba jobless mwenzetu aliekosa adowload app ya utumishi angalie kwenye app iliandikaje, tupo katika kutafuta meaning ya status, asa mchiz unakaa unasubir mkeka kumbe watu washalambishwa
Kumbuka app yao haioneshi more details ka a/c unapolog in kweny tovuti yao... tofaut ipo kat ya app na a/c kweny website yaoHuyu mjuba jobless mwenzetu aliekosa adowload app ya utumishi angalie kwenye app iliandikaje, tupo katika kutafuta meaning ya status, asa mchiz unakaa unasubir mkeka kumbe watu washalambishwa
πππππHahhhhh akagonga mlango na kasiaNionyeshe Status iliyoandikwa Employed au mtu aliyepata ajira kupitia notification ya status nikuonyeshe video ya Majaliwa akifungua mlango wa ndege na kasia.