ππππOya tumesema status hazina maana kaka hebu tuliaHata ww mrija unakuhusu, status hazina maana mwanangu ππ
πππππ Siyo nitafute shamba nianze kilimo kabla mvua hazijaanzaHata ww mrija unakuhusu, status hazina maana mwanangu ππ
ππππStatus hazihusia na placement subiri pdfπππππ Siyo nitafute shamba nianze kilimo kabla mvua hazijaanza
Status kweny ubora wake kwa majobless ππ...Sasa tufanye status ni kuwa ndani ya kanzidata bas ,πππππππStatus hazihusia na placement subiri pdf
Njoo tusome kwanza watatuita tuπLGA JAMANI AFISA BIASHARA TUTAITWA LINI JAMANIIII
Achana na status mkuu haihusiani na placementStatus kweny ubora wake kwa majobless ππ...Sasa tufanye status ni kuwa ndani ya kanzidata bas ,πππ
au sioπMchaw pdf ingawaje na yenyewe inabid iwe perpendicular na phone call
Sasa hivi mchawi ni phone call tu, kama pdf inatoka mwezi baada ya phone call ina maana gani?ππ€£π€£πMchaw pdf ingawaje na yenyewe inabid iwe perpendicular na phone call
πππππUkipokea namba ngeni kuwa na adabu zoteSasa hivi mchawi ni phone call tu, kama pdf inatoka mwezi baada ya phone call ina maana gani?ππ€£π€£π
Mimi Sasa hivi nikiona namba ngeni tu, natafuta sehemu ya utulivu alaf Kwa unyenyekevu kabisa napokea simuππππππUkipokea namba ngeni kuwa na adabu zote
Ndio kilichobakiMkinipa mamlaka ya kusummarize mjadala mrefu, naweza kusema mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka utumishi moja kwa moja kuhusu suala la status.
Ila simu na PDF ndivyo vimeonekana ni hitimisho la kweli. Kwa kuongezea zaidi, ikitangulia PDF hutakuwa na haja ya kusubiri simu kwa hamu, ila kwa upande mwingine ukisikia imetangulia simu na wenzako wamepigiwa kasoro wewe, achana na kusubiri PDF fanya mambo mengine.
Hizo namba zikiingiaga huwa zinanitesa sana kihisiaπππππUkipokea namba ngeni kuwa na adabu zote
ππππHakuna kitu kigumu kama hizi namba ngeni aseehHizo namba zikiingiaga huwa zinanitesa sana kihisia
Ucjari Kiongozi upo kwenye database siku utakuta unapigiwa simu ulipoti pale KIA au KADCO ukawasidie marubani wetuMeteorologist II
Umejuaje yupo data base?Ucjari Kiongozi upo kwenye database siku utakuta unapigiwa simu ulipoti pale KIA au KADCO ukawasidie marubani wetu
Kuna wadau huko juu wamesema SHORTLISTED ni kuwa kwenye database so avute subraUmejuaje yupo data base?