Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipokea namba ngeni kuwa na adabu zote
Leo jioni nilipigiwa na namba ngeni nikajua ADEM, kumbe matapeli.....eti hooo unaongea na Stewart toka Airtel makao makuu, kuna pesa zimetumwa kwako kimakosa....ebu twambie mara ya mwisho kwa akaunt yako ulikuwa na bei gani. WAJINGA SANA JAAMAA. nika mchana akaanza nitukana jobless tunapata tabu sana [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Pole brother mwaisa mtumbad 🤣🤣
 
Wale jamaa wajinga sana wakikuona umewagundua wanakuaga na mtusi wa ajabu Alafu hawapatikan hewani
 
Kwahyo hawa PSRS hii wiki yote wameona ni yakutangaza saili za Halmashauri tu.. mikeka yetu ya Taifa hawataki kuweka.. Hao wa Halmashauri si wameomba kazi huko Halmashauri moja kwa moja basi wafuatilie hukohuko.. si tunataka mikeka ya maana bhana.. yaan mpka Leo J4 inaisha wanapost mambo za Halmashauri tu hata Palcements za taasisi nyingi zilizofanya Usaili September hatujaziona.. Sio fair kabisa hii.
 
Tuendelee kusubiri
 
Kipengelea cha kusubiria mikeka ni kigumu zaidi ya maswali yao yale ya oral
 
Ninachoamini utumishi wapo humu kwahiyo waache mambo ya ajabu watu tumefanya interview muda mrefu tunahitaji feedback ya kile tulichokifanya na sio kutoa majibu kwa taasisi nusu nusu ,mtu anaefanya interview kutoka mwezi may mpaka leo hakuna feedback kwani mnataka jobless wawe vichaa au vipi?mambo ya ajabu sana haya mjitafakari aseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…