😂😂😂😂Kijana wa not selected unaujinga mwingi kinoma hahhhhThe meaning of Ajira kiganjani mwako🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Kijana wa not selected unaujinga mwingi kinoma hahhhhThe meaning of Ajira kiganjani mwako🤣🤣
Kuna zingine bado hawajaita usaili nyingi tu ndio nazan anazozungumzia za hiyo wizaraWizara ya kilimo kuna jobless kasema hapa jana kuwa watu walishapigiwa simu tangu mwezi uliopita. Jamaa yake ambaye ni Afisa Kilimo kashapigiwa
Hizi si ndo pamoja na CBE zile? DIT au sioSoon Kama soon
View attachment 2417798
Yeah tarehe zinafananaHizi si ndo pamoja na CBE zile? DIT au sio
Jobless tuna ujinga kwelikweli 🤣😂😂😂😂Kijana wa not selected unaujinga mwingi kinoma hahhhh
Leo jioni nilipigiwa na namba ngeni nikajua ADEM, kumbe matapeli.....eti hooo unaongea na Stewart toka Airtel makao makuu, kuna pesa zimetumwa kwako kimakosa....ebu twambie mara ya mwisho kwa akaunt yako ulikuwa na bei gani. WAJINGA SANA JAAMAA. nika mchana akaanza nitukana jobless tunapata tabu sana [emoji19][emoji19][emoji19][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipokea namba ngeni kuwa na adabu zote
Pole brother mwaisa mtumbad 🤣🤣Leo jioni nilipigiwa na namba ngeni nikajua ADEM, kumbe matapeli.....eti hooo unaongea na Stewart toka Airtel makao makuu, kuna pesa zimetumwa kwako kimakosa....ebu twambie mara ya mwisho kwa akaunt yako ulikuwa na bei gani. WAJINGA SANA JAAMAA. nika mchana akaanza nitukana jobless tunapata tabu sana [emoji19][emoji19][emoji19]
Wale jamaa wajinga sana wakikuona umewagundua wanakuaga na mtusi wa ajabu Alafu hawapatikan hewaniLeo jioni nilipigiwa na namba ngeni nikajua ADEM, kumbe matapeli.....eti hooo unaongea na Stewart toka Airtel makao makuu, kuna pesa zimetumwa kwako kimakosa....ebu twambie mara ya mwisho kwa akaunt yako ulikuwa na bei gani. WAJINGA SANA JAAMAA. nika mchana akaanza nitukana jobless tunapata tabu sana [emoji19][emoji19][emoji19]
Tuendelee kusubiriKwahyo hawa PSRS hii wiki yote wameona ni yakutangaza saili za Halmashauri tu.. mikeka yetu ya Taifa hawataki kuweka.. Hao wa Halmashauri si wameomba kazi huko Halmashauri moja kwa moja basi wafuatilie hukohuko.. si tunataka mikeka ya maana bhana.. yaan mpka Leo J4 inaisha wanapost mambo za Halmashauri tu hata Palcements za taasisi nyingi zilizofanya Usaili September hatujaziona.. Sio fair kabisa hii.
Kipengelea cha kusubiria mikeka ni kigumu zaidi ya maswali yao yale ya oralKwahyo hawa PSRS hii wiki yote wameona ni yakutangaza saili za Halmashauri tu.. mikeka yetu ya Taifa hawataki kuweka.. Hao wa Halmashauri si wameomba kazi huko Halmashauri moja kwa moja basi wafuatilie hukohuko.. si tunataka mikeka ya maana bhana.. yaan mpka Leo J4 inaisha wanapost mambo za Halmashauri tu hata Palcements za taasisi nyingi zilizofanya Usaili September hatujaziona.. Sio fair kabisa hii.
Kigumu sana tena sanaKipengelea cha kusubiria mikeka ni kigumu zaidi ya maswali yao yale ya oral
Mimi huwa na watukana tusi la nguoni kabla hawajakata simuWale jamaa wajinga sana wakikuona umewagundua wanakuaga na mtusi wa ajabu Alafu hawapatikan hewani
Hayo ndo mambo sasa😂Kuitwa kazini taasisi mbali mbali kaangalieni
Hongereni wote mlioufikia mrija wa asaliKuitwa kazini taasisi mbali mbali kaangalieni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The meaning of Ajira kiganjani mwako[emoji1787][emoji1787]
Wizara ya kilimo kuna jobless kasema hapa jana kuwa watu walishapigiwa simu tangu mwezi uliopita. Jamaa yake ambaye ni Afisa Kilimo kashapigiwa