Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

umenena vyema,nimechoka kuona neno received tu kwangu,bora wasema ukwel
 
Wakuu nimeona hapa PSRS website majina ya nyogeza leo. Naomba kuuliza huwa inakuwaje kunakuwa na majina ya nyongeza au ndo watu wenye "connection" wanatafutiwa nafasi?!
Hapana sio connection maana hata mimi nipo kwenye hayo majina walikosea kuniandikia not shortlisted na sababu waliandika sijasaini barua wakati nimesaini nikawapigia simu wakaangalia kwenye system wakakuta sina makosa wakaniambia nijjiandae na interview watarekebisha na ndio hayo majina sasa unayoyaona hapo
 
Kila jema kwako mungu akutangulie
 
Nipe no zao na mm
 
Mbn mkuu mimi namba zao nikiwacheki huwa hawapokeeei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…