Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Matumizi yake ni sawa na matumizi ya kitambulisho cha Kura, Leseni ya udereva, Passport ya kusafiria.Hiyo barua ya utambulisho WA mkazi ina umuhimu gani kwenye sahili za ajira za serikali Kule Dodoma ?
Kama hauna vitambulisho hivyo vyote basi utatumia barua ya utambulisho wa makazi