Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa jamaa kuna mchezo wanatuchezea nadhan,mfano kuna zile nafasi za TPA walizoita watu kazini tarehe 12.7.2022,tangazo limeondolewa makusudi kabisa na pia kwenye status za waliokua wameomba izo nafasi na kuitwa oral kule kwenye account zao wameondoa selected na imekua kama hazijawahi kuitwa kwa ajili ya interview,ni kama kulikua na udanganyifu.
Na pia kuna nafasi walitangaza toka mwezi wa tano around yatehe 28 hadi leo ni received to kwa status.Watwambie tu basi ukishaomba uwe mtulivu maana wametangaza kwa bahati mbaya tu hazina haraka.
umenena vyema,nimechoka kuona neno received tu kwangu,bora wasema ukwel
 
Wakuu nimeona hapa PSRS website majina ya nyogeza leo. Naomba kuuliza huwa inakuwaje kunakuwa na majina ya nyongeza au ndo watu wenye "connection" wanatafutiwa nafasi?!
Hapana sio connection maana hata mimi nipo kwenye hayo majina walikosea kuniandikia not shortlisted na sababu waliandika sijasaini barua wakati nimesaini nikawapigia simu wakaangalia kwenye system wakakuta sina makosa wakaniambia nijjiandae na interview watarekebisha na ndio hayo majina sasa unayoyaona hapo
 
Kila jema kwako mungu akutangulie
 
Hapana sio connection maana hata mimi nipo kwenye hayo majina walikosea kuniandikia not shortlisted na sababu waliandika sijasaini barua wakati nimesaini nikawapigia simu wakaangalia kwenye system wakakuta sina makosa wakaniambia nijjiandae na interview watarekebisha na ndio hayo majina sasa unayoyaona hapo
Nipe no zao na mm
 
Mbn mkuu mimi namba zao nikiwacheki huwa hawapokeeei
 
Back
Top Bottom