Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila uko sawa, wale wote wa selected for oral itarudi tu shortlisted mchakato wao ukishamalizika
Ndio lakini kule kwenye app ndo inakuletea mapicha picha huko ndo unakutana na maajabu😂😂😂😂
 
Naona yule jamaa aliesema status ni kwamba mchakato umekamilika alikua right, leo jamaa wa selected for oral imerudi shortlisted...so wote shortlisted saivi.
Post zenu zilikua ngapi na oral mlikuwa wangapi mzee
 
agricultural officer grade 11 - ministry of agriculture post zimetangazwa agasti kipindi cha sensa. Mchumi - za MDas + za ASa marketing +Economist post mkuu
 
noted champ. Hali tete kitaa msosi wa manati mageto ,maji ndio kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…