πππππKuna kipindi dogo alikoseaga kuweka detail zake za nida ikawa inagoma nikapiga aliyepokea akaniambia huyo mdogo wako ni mtanzania kweli??ikabidi nicheke tuH
Jamaa wababe kinoma π€£π€£
πππππHapo ndo utaelewa maana yakukosa kazi kimasiharaAu namba zetu za simu tulikosea kule psrs?!!!
Lakn mbna km waliweka kwenye site ya utumishDu
Duh kumbe waliwavutia waya sio
Ahaa kumbeLakn mbna km waliweka kwenye site ya utumish
Hawakupiga simu waliweka ajira portalLakn mbna km waliweka kwenye site ya utumish
Sawa mkuuHizo ni siku za dharura kama juzi J3
ππππKijana wa hovyo sana kaka siuapload tu majina yetu utumishi washangae pdf inaelea elea pale kwenye placementPlacement ya Leo kubwa sana nime scroll π hadi nimechoka okay wakiipandisha mtaiona
NB: JINA LANGU LIPO PIA
Chuo nimesoma professional ethics mkuu nitafungwa Bure mie π€£ππππKijana wa hovyo sana kaka siuapload tu majina yetu utumishi washangae pdf inaelea elea pale kwenye placement
πππππHutaki kutuokoa jobless wenzio hahhhhChuo nimesoma professional ethics mkuu nitafungwa Bure mie π€£
Nawaokoa nyie then napoteza mie π€£πππππHutaki kutuokoa jobless wenzio hahhhh
Wanashangaa kesho nyomi imefata baruaππππKijana wa hovyo sana kaka siuapload tu majina yetu utumishi washangae pdf inaelea elea pale kwenye placement
Nishaandaa suti 2 ,moja nitatinga kutokea pale Morena Hotel mpka migiro na ya pili nitatinga kutoka pale Ngurdoto kuelekea Taasis ileeeeeeeee....Sir God atufanyie wepesi kwenye haya mambo aiseeWanashangaa kesho nyomi imefata barua
ππππHuwezi kupoteza mzee pale veta wanakutegemea kakaNawaokoa nyie then napoteza mie π€£
Umesahau moka mzee na kamwamvuli Fulani hivi maana suti haitakagi juaπππππNishaandaa suti 2 ,moja nitatinga kutokea pale Morena Hotel mpka migiro na ya pili nitatinga kutoka pale Ngurdoto kuelekea Taasis ileeeeeeeee....Sir God atufanyie wepesi kwenye haya mambo aisee
ππππeeeh ndo akili ziwakae vizuriWanashangaa kesho nyomi imefata barua
Yah ni kweli mzee baba na moka moja kali sana na kaambrela kangu pamoja na begi Moja amazing kama lile anabebaga Yule waziri wa vicoba siku ya kusoma bajetiUmesahau moka mzee na kamwamvuli Fulani hivi maana suti haitakagi jua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]