Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ahaa sawa mkuu shukrani sanaπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
 
hata muongozo tu utanifaa sana,shukran
Basic knowledge ya kada yako na Basic knowledge ya Research. Ukifahamu hivi basi uwezekano wa kupita written ni mkubwa. Huko oral jitahidi ujue JD (job description zilizo kwenye tangazo la kazi yako) kisha ujue kujielezea vizuri na pia omba Mungu sana. Kila la kheri kwa wote mnaoenda kufanya interview.
 
Asante sana mkuu ubarikiwe
 
Mkuu, uliwapigia Simu au uliwatumia Email,,, maana ni Nasra sana wale Wakuu kupokea simu
 
Kujielezea huko kujielezea nn.. swali la education background ni dakika moja tu unamalizia maswali mengine sio complicated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…