Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali exactly kupata naona ni vigumu labda upate muongozo wa nini cha kujikumbusha.wakuu mwenye maswali ya written ya artsan rough neck naomba anisaidie tafadhal
It's all about security clearance,kuwa nasubila mangi,hatutaki wezi kwenye utumis hi iWanajamvi nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?!
hata muongozo tu utanifaa sana,shukranMaswali exactly kupata naona ni vigumu labda upate muongozo wa nini cha kujikumbusha.
Mnaojua toeni muongozo
Ahaa sawa mkuu shukrani sana🙏🏾🙏🏾Hapana sio connection maana hata mimi nipo kwenye hayo majina walikosea kuniandikia not shortlisted na sababu waliandika sijasaini barua wakati nimesaini nikawapigia simu wakaangalia kwenye system wakakuta sina makosa wakaniambia nijjiandae na interview watarekebisha na ndio hayo majina sasa unayoyaona hapo
Basic knowledge ya kada yako na Basic knowledge ya Research. Ukifahamu hivi basi uwezekano wa kupita written ni mkubwa. Huko oral jitahidi ujue JD (job description zilizo kwenye tangazo la kazi yako) kisha ujue kujielezea vizuri na pia omba Mungu sana. Kila la kheri kwa wote mnaoenda kufanya interview.hata muongozo tu utanifaa sana,shukran
Soma muongozo hapo juu.hata muongozo tu utanifaa sana,shukran
Asante sana mkuu ubarikiweBasic knowledge ya kada yako na Basic knowledge ya Research. Ukifahamu hivi basi uwezekano wa kupita written ni mkubwa. Huko oral jitahidi ujue JD (job description zilizo kwenye tangazo la kazi yako) kisha ujue kujielezea vizuri na pia omba Mungu sana. Kila la kheri kwa wote mnaoenda kufanya interview.
Mkuu naomba maelekeo yakuona huko pdf maana sijuiPdf nyingine loading.........31/08/2022 ya mwisho kwa leo
Nimekutafuta kwa Majaliwa naona hujarespondAsante sana mkuu ubarikiwe
nimejibuNimekutafuta kwa Majaliwa naona hujarespond
[emoji23][emoji23][emoji23]It's all about security clearance,kuwa nasubila mangi,hatutaki wezi kwenye utumis hi i
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Koo wanapekuwa majina yetu kwenye Database za Polisi Station
Hao wazee wa PGO unazani huwa wanajaza majina kwa usahihi!![emoji23][emoji23][emoji23]
Koo wanapekuwa majina yetu kwenye Database za Polisi Station
Mkuu, uliwapigia Simu au uliwatumia Email,,, maana ni Nasra sana wale Wakuu kupokea simuHapana sio connection maana hata mimi nipo kwenye hayo majina walikosea kuniandikia not shortlisted na sababu waliandika sijasaini barua wakati nimesaini nikawapigia simu wakaangalia kwenye system wakakuta sina makosa wakaniambia nijjiandae na interview watarekebisha na ndio hayo majina sasa unayoyaona hapo
Kujielezea huko kujielezea nn.. swali la education background ni dakika moja tu unamalizia maswali mengine sio complicatedBasic knowledge ya kada yako na Basic knowledge ya Research. Ukifahamu hivi basi uwezekano wa kupita written ni mkubwa. Huko oral jitahidi ujue JD (job description zilizo kwenye tangazo la kazi yako) kisha ujue kujielezea vizuri na pia omba Mungu sana. Kila la kheri kwa wote mnaoenda kufanya interview.
Unanikumbusha oral yangu nilitumia dakika 5 tu Kama sikosei nikasepa hakuna mambo ya kuzunguka English yenyewe kichwani haipo Sasa nijieleze nn Sasa jamaniKujielezea huko kujielezea nn.. swali la education background ni dakika moja tu unamalizia maswali mengine sio complicated
Duhh ulitisha mkuu, Kwan wanaulizaga maswali Gani kwenye oral, ukiachna na Yale yanayohusiana na career yakoUnanikumbusha oral yangu nilitumia dakika 5 tu Kama sikosei nikasepa hakuna mambo ya kuzunguka English yenyewe kichwani haipo Sasa nijieleze nn Sasa jamani
Na mimi napenda kufahamu muongozo wa ulichokihoji hapaDuhh ulitisha mkuu, Kwan wanaulizaga maswali Gani kwenye oral, ukiachna na Yale yanayohusiana na career yako
Faulu kwanza written, hayo ya oral yaacheDuhh ulitisha mkuu, Kwan wanaulizaga maswali Gani kwenye oral, ukiachna na Yale yanayohusiana na career yako