Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

🤣🤣Chochote kitakachokuja kwakweli ntasema,kukosa pia sio dhambi hapa pazuri tunapena moyo na experience za sisi tunaotangulia zitasaidia sana wengine.ila mniombee nipate
😂😂😂😂😂Kuombeana muhimu na kukosa pia ni Jambo la kawaida tu siku yako inakuwa bado mbona sisi tuliendaga na Mwifwa tukakandwa kwenye preliminary stage(written) hata kwenye group stage (oral) hatukufika tukarudi hapa tukasema😂
 
Safi ukiongea na watu wanakupa experience na inakupa moyo wa kupambana zaidi
 
Sema baraka za Mungu huwa hazitabiriki aseeh daaah
 
Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…