Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaaa, nilikaribishwa kwa mkando heavy sana pale CIVE, kabla sijakaa vizuri nikatandikwa ndoige pale DUCE[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], nikawa najisemea kumbe mambo ndio yako hivi. Nikirudi kijiweni nikiwa mnyonge, nilipoulizwa mambo yalivyoenda nikawaambia "nimekimbia" kwani mambo sio kitoto.

Muda huo mwenzangu ambaye niliambatana naye, alifika oral zote na nikamuacha akiwa anapambana na oral, mimi nikarudisha mpira kwa kipa(kijiweni), aliporudi sikuwa na mood ya kumuuliza nini kilichoendelea kule. Nilibaki kuwa mnyonge huku nikifikiria jinsi nafasi inavyotokaga kwa mbinde.

Nilipumzika wiki 1 nikaanza maandalizi ya kurudi UDOM, mara hii ilikuwa CBSL, huku tena nilichezea "Mandonga mtu kazi"[emoji3][emoji3][emoji3] huku mwenzangu akiendelea kupeta.

Kwenye Profile ikawa imebaki received ya NAOT huku nikiikatia tamaa kuanzia hatua ya kuitwa kwa mkando wa written. Nilirudi kuja kueleza hapa ila nasaha kutoka kwa majobless wa humu ikawa chorus ninayoimbiwa[emoji3][emoji3] hadi vina vikaniingia kwenye Oblongata na hatimaye shortlist ya NAOT ikatoka na nikawemo. Si nikaenda kujilipua kimasikhara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], cheche zikatua kwa wakandaji wa ana kwa ana ofisini kwao nikawa miongoni mwa wasubiri placement.

Sasa target yangu ni angalau niingie database, siku nikiona jina kwenye placement tutashereheka wote ushindi humu.

Kama tulianza wote kusubiri shortlists, tukakandwa, tukaimprove na kufika oral tukiwa tunashare feelings kwa pamoja, haitashindikana kusherehekea ushindi kwa pamoja.

#MkonoKwaMkonoHadiKwenyeMrijaWaAsali
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Good naration..
 
Anzaa Kujaza Details za Uderava Nafac zake n Nyingi Kuliko Hizo Fani Za Degree.
Then Omba.
Nyaraka zako za Degree kaa Nazo Stand By 2.
Zikija vacancy za Degree Fany attachment uombe
Shida ukijaza Zote kwa pamoja ss hv Hutaweza Kuomba Post Za Udereva.
 
Barua inakupa maelezo mwisho wa Kuipeleka kwa Mwajiri.
Mwajiri Akiona Kimya anamjulisha Pspr then
Wanatoa nafasi kwa Mtu wa database.
Sababu Zoezi La Vipimo kwa Wajiriwa wapya na Kurequest cheque No Linabidi lifanyike mkiwa mmetumia.
Sio kila m2 aende kwa wakat wake.
PSRS wanasema usipoenda kuchukua barua ndani ya muda waliosema, wataituma kupitia posta
 
Na barua hua zinakua 3 wanakupa wewe nyingine wanabaki nayo na nyingine inapelekwa kwa muajiri wako..kwahyo wakati unaenda kwa muajiri wako tayar Wana barua yako
 
Ahsante kwa muongozo.

Juzi ulichangamsha jukwaa kwa fact sana, tupe madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…