ππππUkikaa kwenye kikao wanaanza kukuagiza maji unajiuliza hawa leo wanakunywa maji kama ngamia aseehLini jobless akathaminika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye vikao vya familia si unajua kazi ya jobless...[emoji3][emoji3][emoji3]
Tukiachana na hawa tuliomaliza nao chuo, kuna wale tuliowaacha primary/olevel(ambao hawakufaulu), sasahivi washatusua ila sisi na degree zetu aibu tupu.Daaaah
Mimi hadi naona aibu na sijui kosa langu lipi!
Hadi naona soo kuchangia kwenye magroup ukizangatia mm ndo nilikuwa mbabe wao!
Kweli maisha ni kombolela
Nitajaribu kumdanganya nimpe laki ya miezi 2 tu basiiiMueleze maza/Faza hausi kuwa unasikilizia mchongo then umwambie unalipa ya mwezi 1 kwanza, mwezi ukiisha bado mambo bila bila lipa tena ya mwezi 1, ukiitwa ndipo maamuzi mengine yatafuatia ambapo yatategemeana na utakapopangiwa kituo cha kazi
kwa sasa hukumwambia akupe connection kiwandaniBasi tuishi kwenye subira ya PDF tutajua mbivu na mbichi.
Ila nikiwa heki jamaa zangu waliowengi washapika hatua aisee.
Ninapoishi kuna kiwanda karibu cha kutengeneza dawa za mifugo, miaka kadhaa imepita kumbe jamaa yangu(class mate) anapiga kazi pale na kashakuwa promoted kawa Manager wa Quality Control,
Kuna siku mida ya saa moja asubuhi nikiwa kwenye harakati za kuelekea kijiweni natembea barabarani, IST ikaja kutoka nyuma, nikasogea kuipisha ilipokaribia ikasimama na kioo kushushwa chini, nikasikia sauti nilipoangalia nikakuta ni classmate.
Nikamsogelea kumpa hai nikamuuliza anakoelekea akaniambia anaenda pale kiwandani, nikamsindikiza kwa kunipa lift maana mwenyewe nilikuwa napitia pale kiwandani niende kijiweni.
Kwenye kumuuliza kaanza lini kazi, kaniambia ameanza miaka kadhaa nyuma, mimi nikabaki kujikaza kujielezea jinsi ninavyopigika kijiweni ili angalau nionekane nipo kwenye game[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], huku moyoni nikigubikwa na unyonge wa kujiuliza "nakwama wapi"
Wengine tupo kama mabeki kwenye mpira ambao kufunga goli unaweza ufunge moja tu msimu mzima, huku wengine wakijinyakulia Golden shoe
Hahaahahaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida hiyo mkuu wewe mwakani mwezi wa12 unanunua Subaru sio Ist
Mara unaambiwa kaangalie kama geti kimefungwa vizuri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikaa kwenye kikao wanaanza kukuagiza maji unajiuliza hawa leo wanakunywa maji kama ngamia aseeh
ππππKabisa mzee unanunua gari sio tena chombo cha usafiri kama istHahaahahaaa.
Kwamba nianze kutembea nikiwa nimekaa tofauti na sasa nikiwa naning'inia kwenye bomba daladala/mwendokasi
Hapo ndo unaona jobless hathaminiki πMara unaambiwa kaangalie kama geti kimefungwa vizuri[emoji3][emoji3][emoji3]
Uzuri wewe ndio unamjua tabia yake, kwa hiyo ongea naye kwa jinsi atakavyokuelewaNitajaribu kumdanganya nimpe laki ya miezi 2 tu basiii
Sikumwambia, kuna kipindi niliwahi kufanya application za kazi viwandani, sikubahatika hata shortlist nikaamua kuachana nazokwa sasa hukumwambia akupe connection kiwandani
Yaani pamoja na degree zetu unaweza ukakuta imefika 40 kwenye hatua ambayo huwa wanasema maisha huanza, ila ukawa bado bila bila hata IST unaiona tu barabarani ikiwa inaedeshwa na watoto waliohongwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mzee unanunua gari sio tena chombo cha usafiri kama ist
mkuu samahani kwani unaishi kibahaSikumwambia, kuna kipindi niliwahi kufanya application za kazi viwandani, sikubahatika hata shortlist nikaamua kuachana nazo
aseeehwakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
Hahhhhh Kwamba watoto waliohongwaYaani pamoja na degree zetu unaweza ukakuta imefika 40 kwenye hatua ambayo huwa wanasema maisha huanza, ila ukawa bado bila bila hata IST unaiona tu barabarani ikiwa inaedeshwa na watoto waliohongwa[emoji3][emoji3][emoji3]
ndo ivo msongo wa mawazo ni mbaya Sana Kama ukikosa mtu au watu kukufarijiaseeeh
Wakili huyu labda anakaribia kujifungua ( JOKE)
Ujobless mbaya sana aseehndo ivo msongo wa mawazo ni mbaya Sana Kama ukikosa mtu au watu kukufariji
ππππUna mwanasheria lakini wakukutetea ?ngoja Prok aje hiyo kesi yake sasaHahaha! Duh, kumbe alikuwa na ujauzito nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless wenzangu mngenipigia pande kwa Prok nijibebee mwanasheria[emoji23]