Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Daaaah
Mimi hadi naona aibu na sijui kosa langu lipi!
Hadi naona soo kuchangia kwenye magroup ukizangatia mm ndo nilikuwa mbabe wao!
Kweli maisha ni kombolela
Tukiachana na hawa tuliomaliza nao chuo, kuna wale tuliowaacha primary/olevel(ambao hawakufaulu), sasahivi washatusua ila sisi na degree zetu aibu tupu.

Life lina mambo ya kibabe sana
 
Basi tuishi kwenye subira ya PDF tutajua mbivu na mbichi.

Ila nikiwa heki jamaa zangu waliowengi washapika hatua aisee.

Ninapoishi kuna kiwanda karibu cha kutengeneza dawa za mifugo, miaka kadhaa imepita kumbe jamaa yangu(class mate) anapiga kazi pale na kashakuwa promoted kawa Manager wa Quality Control,

Kuna siku mida ya saa moja asubuhi nikiwa kwenye harakati za kuelekea kijiweni natembea barabarani, IST ikaja kutoka nyuma, nikasogea kuipisha ilipokaribia ikasimama na kioo kushushwa chini, nikasikia sauti nilipoangalia nikakuta ni classmate.

Nikamsogelea kumpa hai nikamuuliza anakoelekea akaniambia anaenda pale kiwandani, nikamsindikiza kwa kunipa lift maana mwenyewe nilikuwa napitia pale kiwandani niende kijiweni.

Kwenye kumuuliza kaanza lini kazi, kaniambia ameanza miaka kadhaa nyuma, mimi nikabaki kujikaza kujielezea jinsi ninavyopigika kijiweni ili angalau nionekane nipo kwenye game[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], huku moyoni nikigubikwa na unyonge wa kujiuliza "nakwama wapi"

Wengine tupo kama mabeki kwenye mpira ambao kufunga goli unaweza ufunge moja tu msimu mzima, huku wengine wakijinyakulia Golden shoe
kwa sasa hukumwambia akupe connection kiwandani
 
wakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mzee unanunua gari sio tena chombo cha usafiri kama ist
Yaani pamoja na degree zetu unaweza ukakuta imefika 40 kwenye hatua ambayo huwa wanasema maisha huanza, ila ukawa bado bila bila hata IST unaiona tu barabarani ikiwa inaedeshwa na watoto waliohongwa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
wakuu hii kitu ya kuitwa jobless kuna watu inawaathiri kupitiliza kuna mwamba amejinyonga na kuacha barua lakini muda mrefu alikuwa akilalamika na kusema kwamba maisha ya tanzania yapo corrupt kila sehemu na haoni sababu ya kuishi,
jamaa ni graduate wa sheria na alikuwa law school ,na malalamiko yake yalizidi baada ya matokeo ya law school kutoka na kukutwa amekandwa
aseeeh
 
Yaani pamoja na degree zetu unaweza ukakuta imefika 40 kwenye hatua ambayo huwa wanasema maisha huanza, ila ukawa bado bila bila hata IST unaiona tu barabarani ikiwa inaedeshwa na watoto waliohongwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahhhhh Kwamba watoto waliohongwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jobless wenzangu mngenipigia pande kwa Prok nijibebee mwanasheria[emoji23]

Naona pasi zilikuwa zinaelekezwa kwako ila Prok akatumia mbinu za kiwakili kukujaza upepo kama mtuhumiwa na kweli ukapoteana.

Basi ndugu wakili akaiambia Mahakama kupitia hakimu tukushuhudie namna unavyotetemeka na kuwawakilisha vibaya majobless wa Mungu.
 
Back
Top Bottom