Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Utakuwepo mwambaNgoja nikaangalie huko kama nipo au vipi
Anatembea na pdf kwenye flash popote anapoenda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hv mwamba hana weekend huyu
Ukute jobless kalamba mbingo ya kukwea Qatar halafu pdf linatoka huku nyuma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu yumoMapndisha mapdf Sasa hv anaandaa pdf la placement hukoooo
Tuletee mrejesho mkuuNgoja nikaangalie huko kama nipo au vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitaka kukumbusha hii Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Akipoteza flash hapo placement mpaka mwakaniAnatembea na pdf kwenye flash popote anapoenda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumuombee asije akaipoteza...
Hahahaa lengo limetimia mkuuHahaha! Tumewaza pamoja Mkuu.
Japo lengo langu ni angalau jobless mmoja acheke ili siku ziendelee.
😂😂😂😂Nilionekana kilaza sana mkuu wakati huo nilikuwa na stress kinoma hahhhhhJobless alitolewa uvivu sana kwenye uzi wake[emoji3][emoji3][emoji3]
Ama kweli mwanzo mgumuView attachment 2421717
Nipo sema post zote za TAEC na OUT zinafanyika muda mmoja aseeh daahTuletee mrejesho mkuu
😂😂😂😂😂Hapo kibatala tu anamtosha hahhhHahaha! Ili ummudu nashauri ujenge urafiki na Kibatala au Kambole, kama waliweza kutetea Mbowe sio gaidi, ushiriako wao Prok hawezi kuchomoka.
Mkuu asali utalamba tu mwaka huu au ujao mwanzoni na mtu aliye na received hata mbili kwenye account uwezekano wa kulamba asali ni Mkubwa sana aisee maana wadau washatoa sana hint za interview zilivyo kufeli Sasa Ina asalimia chache sana kuliko kufaulu usailNipo sema post zote za TAEC na OUT zinafanyika muda mmoja aseeh daah
Ngoja niandae nauli nikawakande sasa sema shida nikeitwa post tatu afu zote muda mmoja😬😬😬😬Mkuu asali utalamba tu mwaka huu au ujao mwanzoni na mtu aliye na received hata mbili kwenye account uwezekano wa kulamba asali ni Mkubwa sana aisee maana wadau washatoa sana hint za interview zilivyo kufeli Sasa Ina asalimia chache sana kuliko kufaulu usail
NB:HAPO UNAFANYA IPO SASA
Tuwe na subirà wataita mkuuHivi wale ASA ndo wamegoma kabisa kuita watu kwente mkando?
Angalia unono wa Hela mkuu(Subaru Zina bei sana) na wingi wa uhitaji wa watu🤣🤣 kwenye taasisi husikaNgoja niandae nauli nikawakande sasa sema shida nikeitwa post tatu afu zote muda mmoja😬😬😬😬
Na zile za AICC zilitokaga pamojaHivi wale ASA ndo wamegoma kabisa kuita watu kwente mkando?