Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless alitolewa uvivu sana kwenye uzi wake[emoji3][emoji3][emoji3]

Ama kweli mwanzo mgumu
Screenshot_20221120-095319.jpg
 
Nipo sema post zote za TAEC na OUT zinafanyika muda mmoja aseeh daah
Mkuu asali utalamba tu mwaka huu au ujao mwanzoni na mtu aliye na received hata mbili kwenye account uwezekano wa kulamba asali ni Mkubwa sana aisee maana wadau washatoa sana hint za interview zilivyo kufeli Sasa Ina asalimia chache sana kuliko kufaulu usail

NB:HAPO UNAFANYA IPO SASA
 
Ngoja niandae nauli nikawakande sasa sema shida nikeitwa post tatu afu zote muda mmoja😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom