Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Angalia unono wa Hela mkuu(Subaru Zina bei sana) na wingi wa uhitaji wa watu🀣🀣 kwenye taasisi husika
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhhh sijui hata wapi kuna hela ngoja waje waseme hapa TAEC ni PGSS 7 na OUT ni PUTS 1.1 ambayo niliambiwa ni kama 1.6mil sasa sielewi lakini OUT nafasi 4 tumeitwa kama 40 na taec nafasi 10 tumeitwa 500 πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mie nishauliza hapa ptss 7 ni bei Gani hadi Leo majibu Sina dah🀣
 
Hivi hiyo mfano 1.6 take home inaweza Baki 1mil au wanakata sana mkato hawa jamaaa
 
Jobless mnipe ushauri kidogo nina saili tatu zote zinafanyika wakati mmoja mbili niza OUT nafasi zipo 4 kwa kila post lakini tumeitwa watu 36 na mshahara ni puts 1.1
Na nyingine nimeitwa TAEC nafasi zipo 10 tumeitwa watu 500 salary ni PGSS7
Sasa sielewi nikafanye ipi hapo nipo hovesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fanya uende mkuu kwa hzo ratio kutoka nje nje ukikaza mfano hyo ya 4:1 -OUT na hapo bado mchujo wa written bado.

Kwa hyo ukikaza hapo Oral unaenda vizuri kabisa, na ratio inazidi kuwa rafiki zaidi.
 
Hongera sana mkuu,

Naomba uweke kipaumbele katika usaili ambao unaona una asilimia kubwa ya kutoboa.

Muda huu si wa kuangalia mshahara wakati bado upo nje ya Circle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…