😂😂😂😂😂Hahhhhh sijui hata wapi kuna hela ngoja waje waseme hapa TAEC ni PGSS 7 na OUT ni PUTS 1.1 ambayo niliambiwa ni kama 1.6mil sasa sielewi lakini OUT nafasi 4 tumeitwa kama 40 na taec nafasi 10 tumeitwa 500 😂😂Angalia unono wa Hela mkuu(Subaru Zina bei sana) na wingi wa uhitaji wa watu🤣🤣 kwenye taasisi husika