Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hao hawakujipanga.. oral ya watu 170?? hiyo ilikuwa mnapigwa mchanga wa macho.. walishapata mtuYani ndio hivyo tuliitwa mazima oral watu 276 ila wengine hawakutokea tulitokea 170 Sasa ndiyo sijui hesabu yao ikoje
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mm jukumu langu lilikuwa ni kupiga oral yao mambo ya kufaulu au wanawatu wao sikufikilia Hayo mambo ya kupata na kukosa niliwaachia wao na mungu anaejuaHao hawakujipanga.. oral ya watu 170?? hiyo ilikuwa mnapigwa mchanga wa macho.. walishapata mtu
Jana nimefanya written pamoja na mtu ambaye huwa namuona anafanya kazi kwa mwajiri aliyetoa hizi kazi.Hao hawakujipanga.. oral ya watu 170?? hiyo ilikuwa mnapigwa mchanga wa macho.. walishapata mtu
Hizo nazisubiri sio poa Nina received Kama mbiliHv wadau zile kazi za MDA's & LGA's mkeka wake huko Dodoma kutakuwaje.. Maana naona zaidi ya watu 50,000 wataitwa Dom..
Tena huo mkeka ukitoka baada ya vyo kugunguliwa basi pale Dom kutakuwa na uhaba mkubwa sana wa venue.
Jana nimefanya written pamoja na mtu ambaye huwa namuona anafanya kazi kwa mwajiri aliyetoa hizi kazi.
Kila mara huwa naenda pale nikiwa na tatizo ananihudumia nikijua ni mwajiriwa maana nimeanza kumuona akifanya kazi pale tangu 2020. Huyu mtu asipopita basi nitaamini kuwa hajaweka watu wao kwa sababu huyu mtu yupo kwenye ile ofisi anafanya majukumu yaliyoaanishwa kwenye job descriptions.
Jana alipofika Auditorium nilidhani amekuja kuratibu pepa maana anafanya kazi kwenye hiyo ofisi, ghafla nikaona kaunga tela la tunaousaka huo mrija.
usiwe na was was mkuu kuna watu walipiga intern tra 2 yrs na interview walifanya na wakakosa bado tupo tunapambana woteJana nimefanya written pamoja na mtu ambaye huwa namuona anafanya kazi kwa mwajiri aliyetoa hizi kazi.
Kila mara huwa naenda pale nikiwa na tatizo ananihudumia nikijua ni mwajiriwa maana nimeanza kumuona akifanya kazi pale tangu 2020. Huyu mtu asipopita basi nitaamini kuwa hajaweka watu wao kwa sababu huyu mtu yupo kwenye ile ofisi anafanya majukumu yaliyoaanishwa kwenye job descriptions.
Jana alipofika Auditorium nilidhani amekuja kuratibu pepa maana anafanya kazi kwenye hiyo ofisi, ghafla nikaona kaunga tela la tunaousaka huo mrija.
Kuna mtu leo kaniambia hao watu wapo 3, mmoja anafanyia kazi ofisi ya mikoani, wengine(2, mbaye mimi namfahamu 1) wapo ofisi ya Dar.Duh! Aisee.
Endapo tu kama hawakupewa connection hasa ya maswali ili wavuke waende oralusiwe na was was mkuu kuna watu walipiga intern tra 2 yrs na interview walifanya na wakakosa bado tupo tunapambana wote
Matokeo bado tu kwaniKuna mtu leo kaniambia hao watu wapo 3, mmoja anafanyia kazi ofisi ya mikoani, wengine(2, mbaye mimi namfahamu 1) wapo ofisi ya Dar.
Tumewasindikiza, watoe tu matokeo mapema mimi nisepe zangu
Ndio mkuu.Matokeo bado tu kwani
Nyingine pdf imeshushwa Tena sail zinaanza tarehe 19 elimu ya watu wazima ngoja nipige msuliNdio mkuu.
Kuna PDF la shortlisted limeshushwa leo, saili zinaanza tarehe 24 hadi 29 septemba, 2022
Vp, mkuu ushakuwa shortlisted huko..?Nyingine pdf imeshushwa Tena sail zinaanza tarehe 19 elimu ya watu wazima ngoja nipige msuli
Zingine zinafanyika dar mkuu hahahahaha Sasa kama umesharudi kigoma unaona mkeke wa kwenda dar dah nomaUtumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma😁😁.
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.
Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Ndio mkuu kwenye mkeka jina lipo kwenye account Bado ni received so mpka jioni au siku ya interview nitakua nishapata namba ya PepaVp, mkuu ushakuwa shortlisted huko..?
Sasa ukipanga Dodoma ni Rahisi maana pale ni katikati,, Just imagine Mshikaji kapiga pepa lake juzi tokeo limeenda vibaya,, Jana kaanza zake safari to Kigoma,, Leo hii anaona Shortlisted yake ya Usaili Dar au Arusha..Zingine zinafanyika dar mkuu hahahahaha Sasa kama umesharudi kigoma unaona mkeke wa kwenda dar dah noma
Kada ipi hyo bosi..?Ndio mkuu kwenye mkeka jina lipo kwenye account Bado ni received so mpka jioni au siku ya interview nitakua nishapata namba ya Pepa
Mie ni IT mkuu kazi za IAE instructor mkuuKada ipi hyo bosi..?