Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao hawakujipanga.. oral ya watu 170?? hiyo ilikuwa mnapigwa mchanga wa macho.. walishapata mtu
Jana nimefanya written pamoja na mtu ambaye huwa namuona anafanya kazi kwa mwajiri aliyetoa hizi kazi.

Kila mara huwa naenda pale nikiwa na tatizo ananihudumia nikijua ni mwajiriwa maana nimeanza kumuona akifanya kazi pale tangu 2020. Huyu mtu asipopita basi nitaamini kuwa hajaweka watu wao kwa sababu huyu mtu yupo kwenye ile ofisi anafanya majukumu yaliyoaanishwa kwenye job descriptions.

Jana alipofika Auditorium nilidhani amekuja kuratibu pepa maana anafanya kazi kwenye hiyo ofisi, ghafla nikaona kaunga tela la tunaousaka huo mrija.
 
Hv wadau zile kazi za MDA's & LGA's mkeka wake huko Dodoma kutakuwaje.. Maana naona zaidi ya watu 50,000 wataitwa Dom..

Tena huo mkeka ukitoka baada ya vyo kugunguliwa basi pale Dom kutakuwa na uhaba mkubwa sana wa venue.
 
Jana nimefanya written pamoja na mtu ambaye huwa namuona anafanya kazi kwa mwajiri aliyetoa hizi kazi.

Kila mara huwa naenda pale nikiwa na tatizo ananihudumia nikijua ni mwajiriwa maana nimeanza kumuona akifanya kazi pale tangu 2020. Huyu mtu asipopita basi nitaamini kuwa hajaweka watu wao kwa sababu huyu mtu yupo kwenye ile ofisi anafanya majukumu yaliyoaanishwa kwenye job descriptions.

Jana alipofika Auditorium nilidhani amekuja kuratibu pepa maana anafanya kazi kwenye hiyo ofisi, ghafla nikaona kaunga tela la tunaousaka huo mrija.

Duh! Aisee.
 
usiwe na was was mkuu kuna watu walipiga intern tra 2 yrs na interview walifanya na wakakosa bado tupo tunapambana wote
 
Endapo tu kama hawakupewa connection hasa ya maswali ili wavuke waende oral
 
Kuna mtu leo kaniambia hao watu wapo 3, mmoja anafanyia kazi ofisi ya mikoani, wengine(2, mbaye mimi namfahamu 1) wapo ofisi ya Dar.

Tumewasindikiza, watoe tu matokeo mapema mimi nisepe zangu
Matokeo bado tu kwani
 
Utumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma😁😁.
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.

Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
 
Zingine zinafanyika dar mkuu hahahahaha Sasa kama umesharudi kigoma unaona mkeke wa kwenda dar dah noma
 
Sasa ukipanga Dodoma ni Rahisi maana pale ni katikati,, Just imagine Mshikaji kapiga pepa lake juzi tokeo limeenda vibaya,, Jana kaanza zake safari to Kigoma,, Leo hii anaona Shortlisted yake ya Usaili Dar au Arusha..
 
Back
Top Bottom