Una miaka mingapi mkuu? isije kuwa mie ndo kaka yenu humu then mnaleta Siasa tuKuna watoto wengi ndio maana hata baadhi ya mijadala unaona kabisa unadeal na immature people.
Hahahaha sio mkubwa sana bado ni Millennial ila tunabishana sana humu na watoto 1995+Una miaka mingapi mkuu? isije kuwa mie ndo kaka yenu humu then mnaleta Siasa tu
Hao waniiite kaka tu mieHahahaha sio mkubwa sana bado ni Millennial ila tunabishana sana humu na watoto 1995+
Hahahaha watu tumesugua benchi mpaka ukiona mtu yupo mtaani miaka mitatu/minne jobless halafu analalamika namuelewa ila simuonei huruma.Hao waniiite kaka tu mie
Mi pia huwa naona kwenye kukaguliwa wengine wana vyeti hivi vifupi vilivyotolew kwa waliozaliwa miaka ya 2000😄😄😄Yani nilivyoisoma comment ya kumaliza form four 2013 nimeshtuka sana Mkuu, kumbe Jf kuna wadogo zetu mko wengi sana.
Wakati legend unacheti kipana utadhani kurasa la gazeti la The GuardianMi pia huwa naona kwenye kukaguliwa wengine wana vyeti hivi vifupi vilivyotolew kwa waliozaliwa miaka ya 2000😄😄😄
We ondoa hayo mawazo yakutoenda kwenye saili,cha msingi nafasi zikitoka omba na Ukiwa shortlisted pesa ya nauli unayo nenda kapambane ukiwaza utakandwa na kupoteza hutounganishwa kwenye gridi ya taifa ya asali labda kama una konekshen ya 5G.Unanishauri niwe napiga interview bila placement?!!!!
Aisee wa vyeti vifupi Mimi pia nilifanya nao usaili🤣Mi pia huwa naona kwenye kukaguliwa wengine wana vyeti hivi vifupi vilivyotolew kwa waliozaliwa miaka ya 2000😄😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eeh wanajadili confusion ya status vizuri tuYani Mkuu, acha kabisa. Nitapunguza hata userious endapo mivutano ya hoja ikitokea.
Unaweza ukabishana kitu na dogo ambaye kama mngeonana uso kwa uso angekuogopa na asingeongea kitu zaidi ya kutingisha kichwa kukubali.
Lakini kwenye hizi ID fake, unaweza kuta kuna wazazi wetu hawatafuti kazi ila wapo kwenye huu uzi kutoa kampani.
Inawezekana watu wanaofungua nyuzi za hovyo kila kukicha na kukomenti majibu ya aibu kwenye nyuzi tofauti tofauti, kumbe ni Baba au Mama zetu aisee.
True,watu wanarudi kutoka Qatar na placement bado🤣Humu mtashangaa siku zinaenda halafu kimya, mwenye hii post 'kwanini wanatumia mda mrefu kuita watu kazini' ana logic
😂😂😂😂Kijana wa not selected unatusema leo hahhhh🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eeh wanajadili confusion ya status vizuri tu
,🤣🤣🤣 Hatari na nusu....😂😂😂😂Kijana wa not selected unatusema leo hahhhh
Kijana wa hovyoo🤣😂😂😂😂Kijana wa not selected unatusema leo hahhhh
Hapana sema ile post uliyoitwa kazini ndo hautaitwa tena interview zakehivi ukiitwa kazin kutok kanzi data na ukaon hiyo taasis kwako ni ya michongo yan hkun maslah na ukaamua usireport kazini je utakuwa kwenye hli kombe la utumishi umejitoa milele
😂😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo unatusema vijana wa status au sioKijana wa hovyoo🤣
,🤣🤣Jamaa anataka kuendelea kuwakanda psrp kwenye received😂😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo unatusema vijana wa status au sio
Status aina umri...😄😂😂😂😂Hahhhh kijana wa hovyo unatusema vijana wa status au sio
😂😂😂Wamezingua pumbafu sanaHawa Senegal wajiandae kurudi nyumbani