Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yani Mkuu, acha kabisa. Nitapunguza hata userious endapo mivutano ya hoja ikitokea.

Unaweza ukabishana kitu na dogo ambaye kama mngeonana uso kwa uso angekuogopa na asingeongea kitu zaidi ya kutingisha kichwa kukubali.

Lakini kwenye hizi ID fake, unaweza kuta kuna wazazi wetu hawatafuti kazi ila wapo kwenye huu uzi kutoa kampani.

Inawezekana watu wanaofungua nyuzi za hovyo kila kukicha na kukomenti majibu ya aibu kwenye nyuzi tofauti tofauti, kumbe ni Baba au Mama zetu aisee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eeh wanajadili confusion ya status vizuri tu
 
Back
Top Bottom