Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Mmmh.. Sasa kama hawajatoa replacement watashindwaje kukuita kwenye interview..?
Au we logic yako ni ipi kama umefanya interview na ukafaulu Huku Kuna kazi nyingine uliomba na inatakiwa iwe shortlisted..?
 
Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Placement bado lazima wakuite tu
 
Mamaae mkeka wangu mmoja ushachanika kwenye jina list sipo account imeandikwa received

Wangeniambia tu shida ni nini nirekebishe kuliko kuweka received tu
 
Hahahahaaa, nacheka kama mazuri ila kuitwa ni vizuri.

Lazima tutoke majasho ya damu.

Hapa Nyati Lounge itakuwa mkombozi.
 
Hujamuelewa huyo jamaa, kikubwa hajaona jina lake kwenye pdf.. huko kwenye account namba au sababu ya KUTOKUITWA hawaweki fast Ila kama umeitwa lazima ulione jina kwa pdf
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…