Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,859
- 4,539
Sawa mkuu, pambania huo mrija wa HoneyMie ni IT mkuu kazi za IAE instructor mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, pambania huo mrija wa HoneyMie ni IT mkuu kazi za IAE instructor mkuu
Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dahSawa mkuu, pambania huo mrija wa Honey
Mmmh.. Sasa kama hawajatoa replacement watashindwaje kukuita kwenye interview..?Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Placement bado lazima wakuite tuAcha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Kila la kheri mkuuNyingine pdf imeshushwa Tena sail zinaanza tarehe 19 elimu ya watu wazima ngoja nipige msuli
Hahahahaaa, nacheka kama mazuri ila kuitwa ni vizuri.Utumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma[emoji16][emoji16].
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.
Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Zitarudishwa tu, watakuwa wanapanga mambo yakae vizuriNaona shortlisting zimefutwa, sasa sijui ni nini kimetokea?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kuna ambayo ulishawahi kuitwa..?Mamaae mkeka wangu mmoja ushachanika kwenye jina list sipo account imeandikwa received
Wangeniambia tu shida ni nini nirekebishe kuliko kuweka received tu
Hujamuelewa huyo jamaa, kikubwa hajaona jina lake kwenye pdf.. huko kwenye account namba au sababu ya KUTOKUITWA hawaweki fast Ila kama umeitwa lazima ulione jina kwa pdfUsiwe na hofu mkuu, kama bado received it means bado hawajajaza numbers za usaili hata kama mkeka wametoa. Huwa inachukua siku 1 hadi 2 kujaza kwenye accounts. Shida kama ungeandikiwa not shortlisted
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hakuna kimakosa pale pdf zote ninazo za zinaonesha zimetoka Leo tar 7.. hyo ni issue ya Mtandao tu but soon zitarudiWamezifuta zote zilikuwa kimakosa shortlist
Waachie na placement hata moja aisee daahHakuna kimakosa pale pdf zote ninazo za zinaonesha zimetoka Leo tar 7.. hyo ni issue ya Mtandao tu but soon zitarudi
Okay lolote sawa tu mie kwa kweliPlacement bado lazima wakuite tu
Watu waungane na wengine wakienda kwe paper na wengine wakienda chukua baruaOkay lolote sawa tu mie kwa kweli
MmhUtumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma[emoji16][emoji16].
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.
Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Khaaa tenaaNaona shortlisting zimefutwa, sasa sijui ni nini kimetokea?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mimi ninazo PDF 2Nimeamini wadau wapo active tayari wanazo zote ingawaje wamezitoa
Kwakweli pongezi yani hata nusu saaa hsikuisha washapakua watu 😂😂Mimi ninazo PDF 2