Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Mmmh.. Sasa kama hawajatoa replacement watashindwaje kukuita kwenye interview..?
Au we logic yako ni ipi kama umefanya interview na ukafaulu Huku Kuna kazi nyingine uliomba na inatakiwa iwe shortlisted..?
 
Acha nipambane sema wangetoa placement Kuna interview Toka mwezi wa sita mpaka Leo kimya dah Sasa kama nimeitwa Huku IAE Si kwenye placement Kama imeshaandaliwa maana yake sipo hahha🤣🤣 ndo maana wameniita Huku dah
Placement bado lazima wakuite tu
 
Mamaae mkeka wangu mmoja ushachanika kwenye jina list sipo account imeandikwa received

Wangeniambia tu shida ni nini nirekebishe kuliko kuweka received tu
 
Utumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma[emoji16][emoji16].
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.

Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Hahahahaaa, nacheka kama mazuri ila kuitwa ni vizuri.

Lazima tutoke majasho ya damu.

Hapa Nyati Lounge itakuwa mkombozi.
 
Usiwe na hofu mkuu, kama bado received it means bado hawajajaza numbers za usaili hata kama mkeka wametoa. Huwa inachukua siku 1 hadi 2 kujaza kwenye accounts. Shida kama ungeandikiwa not shortlisted

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hujamuelewa huyo jamaa, kikubwa hajaona jina lake kwenye pdf.. huko kwenye account namba au sababu ya KUTOKUITWA hawaweki fast Ila kama umeitwa lazima ulione jina kwa pdf
 
Utumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma[emoji16][emoji16].
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.

Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Mmh
 
Back
Top Bottom