Subaru muhimu sanaHahahaha mkuu kukopa kununua gari ni simple sana kuliko kukopa kujenga so tutakopa tununue gariπ€£π€£π€£π€£
ππππKubeti ni kazi kama kazi zingineHawa Argentina wanaibia sana offside nyingi kuliko magoli mie nimeweka mkeka mabao mawili first half wanachana hawa siwabetiiii Tena
ππππFlash ya placement imepotea hahhhππππππ Basi tuwe tunaangalia placement bas ...Maana haujui Upo kanzidata au haupo ... Tuendelee na maandalizi ya received ππ
Acha tu mzee, mi nimeogopa hyo. Nimeweka 3+ ila kwa mwendo wao wa kuibia wananipa shaka.Hawa Argentina wanaibia sana offside nyingi kuliko magoli mie nimeweka mkeka mabao mawili first half wanachana hawa siwabetiiii Tena
ππππKwahiyo mlijua mpira ndo kama utumishi au??Acha tu mzee, mi nimeogopa hyo. Nimeweka 3+ ila kwa mwendo wao wa kuibia wananipa shaka.
Unajua betting ndio ajira ya jobless ananamna akikandwa basi atalalamika tuπππππππKwahiyo mlijua mpira ndo kama utumishi au??
ππππUnajua betting ndio ajira ya jobless ananamna akikandwa basi atalalamika tuπππ
Hahaha,,flash ilipotea lkn vocha za kuwapigia waliotoboa zipo ππππππFlash ya placement imepotea hahhh
ππππJana wanapigiwa kwanini hawajashortlist watu wanasema umeme umekata kwahiyo tusubiri umeme urudi mamaeeeHahaha,,flash ilipotea lkn vocha za kuwapigia waliotoboa zipo ππ
ππ Jobless anabaki anapagawa kwa majibu hayaππππJana wanapigiwa kwanini hawajashortlist watu wanasema umeme umekata kwahiyo tusubiri umeme urudi mamaeee
ππππππ Jobless anabaki anapagawa kwa majibu haya
Soonπ€£ukiwauliza kuhusu placements wanasema hivi karibuni!
Kupost picha wanaweza lakini placement sasaππππLeo wamefanya kikao msijali soonπ€£
View attachment 2424092
ππππWasengerema wale pumbavu zaoArgentina π€£π€£π€£