Uhakika mkuuUkipata placement utaleta feedback??maana mnakaaga kimya humu
😂😂😂😂Hahhhhh Kwamba not selected na bado anasema Kuna placementKitu kipo re-advertised, ngoma inasoma not selected af unataka placement na simu hujapigiwa 🤣🤣
Kweli mkuu nimetoa mawazo MTU kama anataka afanye biashara ikiwa job basi ampe mkewe asimamie jobless akaniambia pole ila mie ndo naona option yenye risk ndogo kuliko kumpa ndugu asimamie biashara zakoWanasemaga kwenye mafanikio ya mwanaume, kuna mwanamke nyuma yake.
Tuishi humu humu mkuu
Basi sawa leta job description tuone afu nikipata muda ntakupa pakuanzia mzee
Biashara kama Nampa ndugu ni mdgo wangu tu au mzazi wangu pekee wengine hapana na sijawahi kuwazaKweli mkuu nimetoa mawazo MTU kama anataka afanye biashara ikiwa job basi ampe mkewe asimamie jobless akaniambia pole ila mie ndo naona option yenye risk ndogo kuliko kumpa ndugu asimamie biashara zako
Weka possible mkuu japo nyomi la watu sio mchezo.Basi sawa leta job description tuone afu nikipata muda ntakupa pakuanzia mzee
Uko sahihi mkuuKweli mkuu nimetoa mawazo MTU kama anataka afanye biashara ikiwa job basi ampe mkewe asimamie jobless akaniambia pole ila mie ndo naona option yenye risk ndogo kuliko kumpa ndugu asimamie biashara zako
Nashkuru mi nna experience na biashara vizuri tu,usimpe mdogo wako wala mama ako.Biashara kama Nampa ndugu ni mdgo wangu tu au mzazi wangu pekee wengine hapana na sijawahi kuwaza
Na kama mke angalia kichwa cha mke kwanza ni kichwa cha biashara au ndo ile anaringia tako😬😬
Vipi kwa baba napo?Nashkuru mi nna experience na biashara vizuri tu,usimpe mdogo wako wala mama ako.
Unaogopa nyomi??😂😂😂😂aseeh hutaki kazi au?Weka possible mkuu japo nyomi la watu sio mchezo.View attachment 2424219View attachment 2424220
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Nikipata muda ntakusave mzee maana me mwenyewe nimetingwa na hiyo jmosi hata mood ya kusoma haijawa activatedWeka possible mkuu japo nyomi la watu sio mchezo.View attachment 2424219View attachment 2424220
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Nikajua angaliaga status hahhhKweny insta nmeona kuna jamaa kawaulizaa psrp et placement za MNMA, ADEM, IFM IAE, lini?? Psrp Wanamjibu SOON ,,jamaa mwingine anamuuliza yule ni muda gaani ,hawajatoa pengne wengne washapigiwa simu ,,PSRP Wanamjibu et angaliaga website yetu?? 😂😂 Sio poa aisee
Upo sahihi mie lazima nimpe dogo biashara sio mtoto wa Mjomba sijui upande wa bibi mala mzaa Shangazi 🤣🤣🤣Biashara kama Nampa ndugu ni mdgo wangu tu au mzazi wangu pekee wengine hapana na sijawahi kuwaza
Na kama mke angalia kichwa cha mke kwanza ni kichwa cha biashara au ndo ile anaringia tako😬😬
Duh basi niemeacha siwapi kama ndo hivyo 🤣🤣🤣Nashkuru mi nna experience na biashara vizuri tu,usimpe mdogo wako wala mama ako.
Poa mkuu shusha vitu.Nikipata muda ntakusave mzee maana me mwenyewe nimetingwa na hiyo jmosi hata mood ya kusoma haijawa activated
Argentina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nishaacha kubeti 2018 mkuu nilikua nafrahisha Uzi tu mkuuu🤣Hahaha! Mkuu, jobless hatakiwi kujihusisha na vitu vinavyoweza kusababisha msongo wa mawazo.
Angalia usije ukajinyonga.
Mpira ni kwa ajili ya watu wenye pesa ya uhakika wa kutuliza machungu ya timu zao kufungwa.