Ni mke sio demu au sio😂😂😂😂Hapa hazungumziwi ambae sio mke broo🤣🤣🤣
Imeondoka na Argentina 😂😂😂😂Ila j4 ya Leo kama inaondoka kavu hvi Yani bila placement 🤣🤣
Placement Leo wameambualia waarabu mzee🤣Imeondoka na Argentina 😂😂😂😂
Na ni mke anaejielewa ikishindikana komaa mwenyewe kwenye usimamizi kwenye mauzo weka mtu ambaye akiharibu unaweza kumfungaNi mke sio demu au sio😂😂😂😂
Hii ndo huwa nawaza ndo njia nzuri nasimamia mwenyeweNa ni mke anaejielewa ikishindikana komaa mwenyewe kwenye usimamizi kwenye mauzo weka mtu ambaye akiharibu unaweza kumfunga
Na vipi kama ni mtoto wako ?Na ni mke anaejielewa ikishindikana komaa mwenyewe kwenye usimamizi kwenye mauzo weka mtu ambaye akiharibu unaweza kumfunga
Angalia kichwa yake kaka ni mfanyaji biashara?anaaminika?na inashauriwa kumlipa mshahara hata kama ni wewe weka utaratibu wa kujilipa mshara ili Principe ya separate legal entity itimie,hakikisha una uwezo wa kumuwajibisha akiharibu ilibidi weka mkataba wa kumbana..mfatilie kama ambavyo boss anamfatilia kijakazi Kila hatua iwe na maelezo..kama kweli anafaa ataendelea kubaki hapo ila kama so mfanya biashara atakwambia baba mi nipe ishu nyingine,.ni vyema pia watoto wetu kuwafundisha vitu tunavyofanya mapema tangu wakiwa watoto..anakua akiijua biashara vizuri in and out..na hvi ndiyo walivyofanikiwa wakina bakhresa,GSM watoto wao wameziishi zile biasharaNa vipi kama ni mtoto wako ?
Yes nilipata bahati kuwa na mzee wakunifundisha biashara kuanzia nikiwa mdgo aseehAngalia kichwa yake kaka ni mfanyaji biashara?anaaminika?na inashauriwa kumlipa mshahara hata kama ni wewe weka utaratibu wa kujilipa mshara ili Principe ya separate legal entity itimie,hakikisha una uwezo wa kumuwajibisha akiharibu ilibidi weka mkataba wa kumbana..mfatilie kama ambavyo boss anamfatilia kijakazi Kila hatua iwe na maelezo..kama kweli anafaa ataendelea kubaki hapo ila kama so mfanya biashara atakwambia baba mi nipe ishu nyingine,.ni vyema pia watoto wetu kuwafundisha vitu tunavyofanya mapema tangu wakiwa watoto..anakua akiijua biashara vizuri in and out..na hvi ndiyo walivyofanikiwa wakina bakhresa,GSM watoto wao wameziishi zile biashara
ADMISSION OFFICER-OUT zilikuwa nafasi ngap?Na vipi kama ni mtoto wako ?
😂😂😂😂oya umeniquote mzee wakati me naulizia watoto hahhhhADMISSION OFFICER-OUT zilikuwa nafasi ngap?
Hii nzuri sanaY
Yes nilipata bahati kuwa na mzee wakunifundisha biashara kuanzia nikiwa mdgo aseeh
Hahahaaaa.watu waliofanya oral interview HESLB waliambiwa majibu ya interview zote yatatolewa kabla ya mwezi huu haujaisha so tuendelee kusubili kama sio leo labda kesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukawàamini🤣watu waliofanya oral interview HESLB waliambiwa majibu ya interview zote yatatolewa kabla ya mwezi huu haujaisha so tuendelee kusubili kama sio leo labda kesho😂😂😂
Kaka, tunaendelea kupambana😂😂Ahmet huyo tunae humu🤣
Tena kwa njia ya mtutu😂😂Kijana wangu anapambana kama anastruggle for independence aseeh😂😂😂😂😂
Jumanne ya leo jau sana yan mbaya zaid Argentina kasepa na pesa yanguJumanne ya Leo haijakaa sawa
uko updated sana unaweza pia kutoa update[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oya umeniquote mzee wakati me naulizia watoto hahhhh