Sasa kama hazina maana kwanini wasikuandikie selecy for oral hata kama umefeliππππ Yani status Zina maana lakini ile maana after oral ndo hatujui ndo maana hata kwenye pdf hatujui kama upo au vipi na hiyo maana ya hzo status hawawezi kutuambia hata siku moja kama ilivyo kwenye marks za oral ni sawa na status wao ndo wanajua maana yakeStatu hazina maana sana ila Kamwe huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa[emoji1][emoji1][emoji1]
ππππau sioMaana kweny plcement
Yes yule jamaa anaitwa @Bkwepu sijuiMie mweyw nakumbuka na kuna jamaa mmoja alitoaga ka ufafanuzi kuhusiana na status ,,
ππππoya unawasema Tena wataipoteza flash ya pdf mzeeWajinga tuu ukiwaangalia watu wenyewe walala hoi kama sisi tu ambao hatuna ajira[emoji1][emoji1]
Eeh kitu ka hicho na jamaa mwingine pia alijaribugu kutoa ufafanuzi wake ,sijui alitoa wap Maana hatufahamini humu ndani ...Yes yule jamaa anaitwa @Bkwepu sijui
Yes yes kama hivyoEeh kitu ka hicho na jamaa mwingine pia alijaribugu kutoa ufafanuzi wake ,sijui alitoa wap Maana hatufahamini humu ndani ...View attachment 2426513
Aliyejibu hii comment yule ni utumishi mzee ukitaka kuwajua hawa wakikuta mnalumbana sana wanatoa jibu moja tu afu wanapotea mazima hawatoi jibu lingine Tena ili kama utaendelea kubisha we bisha tu lakini jibu kakupa na wengi wao wanakuwa new memberEeh kitu ka hicho na jamaa mwingine pia alijaribugu kutoa ufafanuzi wake ,sijui alitoa wap Maana hatufahamini humu ndani ...View attachment 2426513
Psrs washawapa majibu kabisa kuwa acha kukariri elewa tu taaluma Yako Sema watu wabishi sanaππππ
Alafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?Aliyejibu hii comment yule ni utumishi mzee ukitaka kuwajua hawa wakikuta mnalumbana sana wanatoa jibu moja tu afu wanapotea mazima hawatoi jibu lingine Tena ili kama utaendelea kubisha we bisha tu lakini jibu kakupa na wengi wao wanakuwa new member
N.B hako kautafiti kangu pekeangu[emoji23][emoji23][emoji23]
PSRS wangetoa placement ndefu tufungie nayo mwaka
Ni kweli kabsa kuna mwamba alijikuta kapita kwenye post moja pekee yake akarudi mtaani mahesabu kibao kiwanja, gar kumbe looh hakufikisha passmark ya utumishi zile ndoto zikafifia kama moto wa kibatari,,,,jamaa ali relax san kuon post yupo pke aje kumbe tumishi hawaangalii hlo kma hujafikish wana re-advertise,,,,,,na jamaa alipokuja kuvunjwa moyo ni pale kazi ilelw ilipokunq kuwa re advertisedUtumishi wanajikutaa sana yanii wako radhi watangaze nafasi upyaa[emoji1][emoji1][emoji1] Ni upuuzi sanaa sema tu ndo shida ya kuwapa dhamana wenye elimu ndogo wachache waamue hatma ya wasomi wengi
Mtu wautumishi π€£π€£Aliyejibu hii comment yule ni utumishi mzee ukitaka kuwajua hawa wakikuta mnalumbana sana wanatoa jibu moja tu afu wanapotea mazima hawatoi jibu lingine Tena ili kama utaendelea kubisha we bisha tu lakini jibu kakupa na wengi wao wanakuwa new member
N.B hako kautafiti kangu pekeanguπππ
Yule jamaaa ni jobless tu wa mda mrefu so anauzoefu na kukandwa mpka kashajua baadhi ya utaratibu ni kama wewe now Mtu akikuomba ufafanuzi hakujui kuwa jobless ataenda kuwaambia watu nimepata taarifa nyeti Toka Kwa MTU wa utumishi π€£π€£π€£Unahakika gn ni
Mtu wautumishi π€£π€£
π€£π€£π€£π€£Yule jamaaa ni jobless tu wa mda mrefu so anauzoefu na kukandwa mpka kashajua baadhi ya utaratibu ni kama wewe now Mtu akikuomba ufafanuzi hakujui kuwa jobless ataenda kuwaambia watu nimepata taarifa nyeti Toka Kwa MTU wa utumishi π€£π€£π€£
Ndio huwa watu wanaletwa hapa VETA nawafanyiaga vetting process π€£π€£Alafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?
Hazina maana ndo maana huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa.. Ukishakuwa selected unaachana nayo itabadilika inavyoweza ila kamwe haiwezi kubadilisha hali halisii..!! So hata placement ikitoka unaweza kuta status inaonesha shortlisted sasa hapo hutaenda kurepot kazini???Sasa kama hazina maana kwanini wasikuandikie selecy for oral hata kama umefeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani status Zina maana lakini ile maana after oral ndo hatujui ndo maana hata kwenye pdf hatujui kama upo au vipi na hiyo maana ya hzo status hawawezi kutuambia hata siku moja kama ilivyo kwenye marks za oral ni sawa na status wao ndo wanajua maana yake
Yani kwa hili wanazingua sanaa...!!Ni kweli kabsa kuna mwamba alijikuta kapita kwenye post moja pekee yake akarudi mtaani mahesabu kibao kiwanja, gar kumbe looh hakufikisha passmark ya utumishi zile ndoto zikafifia kama moto wa kibatari,,,,jamaa ali relax san kuon post yupo pke aje kumbe tumishi hawaangalii hlo kma hujafikish wana re-advertise,,,,,,na jamaa alipokuja kuvunjwa moyo ni pale kazi ilelw ilipokunq kuwa re advertised
πππππVetting wanafatilia background yako ya elimu mzeeAlafu kwenye maelezo yake jamaa amesema Watu wanafanyiwa VETTING,so hyo vetting ni nn au wanakupeleka VETA kwa Meck Pro?
ππππZina maana yake sema maana yake sasa hatuijui lakini kwa user wa system Zina maana yake mzeeHazina maana ndo maana huwezi kuta selected for oral wakati hukuchaguliwaa.. Ukishakuwa selected unaachana nayo itabadilika inavyoweza ila kamwe haiwezi kubadilisha hali halisii..!! So hata placement ikitoka unaweza kuta status inaonesha shortlisted sasa hapo hutaenda kurepot kazini???
ππππKijana wa hovyo sana wewe hahhhhNdio huwa watu wanaletwa hapa VETA nawafanyiaga vetting process π€£π€£