Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna mkeka wa dunia unaitwa NAOT umeusahau?
 
Kumbe matumaini yapo

Mi nilijua kwenye mkeka usipokuwepo ndio imetoka hivyo sijawahi experience hichi kitu nakumbuka tu zamani kama ni shortlist wanaandika pale kabisa

Ngoja nisubiri Ile received Kama itabadilika kuwa not shortlist au shortlist
 
Kumbe matumaini yapo

Mi nilijua kwenye mkeka usipokuwepo ndio imetoka hivyo sijawahi experience hichi kitu nakumbuka tu zamani kama ni shortlist wanaandika pale kabisa

Ngoja nisubiri Ile received Kama itabadilika kuwa not shortlist au shortlist
Mkuu sikukatishi tamaa, Ila ukiona jina halipo kwa pdf basi ujue uko Not shortlisted
 
Kuna mtu leo kaniambia hao watu wapo 3, mmoja anafanyia kazi ofisi ya mikoani, wengine(2, mbaye mimi namfahamu 1) wapo ofisi ya Dar.

Tumewasindikiza, watoe tu matokeo mapema mimi nisepe zangu

Mkuu, japo unaloongea ni kweli linakatisha tamaa lakini usipoteze matumaini, vuta subira.
 

Hahaha, Mkuu kuhudhuria Saili nako kwa sasa kumekuwa kama kubeti, kadiri unavyotake risks kubwa inabidi uhakikishe return nayo ni kubwa.

Kuna Saili mtu unaweza ukaitwa ila ukicheki risks zilizopo haziendani na returns, inabidi unapotezea.
 
Hakuna kimakosa pale pdf zote ninazo za zinaonesha zimetoka Leo tar 7.. hyo ni issue ya Mtandao tu but soon zitarudi

Mkuu, kama unazo naomba utusaidie kuzituma hapa au pm tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…