Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
NAOT hadi tumeanza kuwasahauBado na NAOT, Wizara ya mambo ya nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAOT hadi tumeanza kuwasahauBado na NAOT, Wizara ya mambo ya nje
Kuna mkeka wa dunia unaitwa NAOT umeusahau?Kwa hizi pdf ninazoziona hapa kwenye tovuti ya PSRS.. basi nachelea Kusema mpaka kuishi saili za hizi Shortlisted watakuwa wametafuna ½ na ⅓ ya kazizote zilizotangazwa Hadi Sasa,
Urgently naona zimebaki taasisi zifuatazo.
USDM,, Lectures & Tutorials and
Technicians
SUA,, Technicians
MDA's & LGA's,, Mkeka wa Taifa
TRA,, Mkeka wa Taifa
WIZARA YA KILIMO,, Mkeka wa Taifa
UDOM,, Lectures & Tutorials.
LITA,TARILI,, Technicians.
Kama nimeacha basi ni Taasisi chache
Huu ulikuwa na Post ngpi..?Kuna mkeka wa dunia unaitwa NAOT umeusahau?
Kumbe matumaini yapoUsiwe na hofu mkuu, kama bado received it means bado hawajajaza numbers za usaili hata kama mkeka wametoa. Huwa inachukua siku 1 hadi 2 kujaza kwenye accounts. Shida kama ungeandikiwa not shortlisted
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nyingi tu mkuuHuu ulikuwa na Post ngpi..?
Mkuu sikukatishi tamaa, Ila ukiona jina halipo kwa pdf basi ujue uko Not shortlistedKumbe matumaini yapo
Mi nilijua kwenye mkeka usipokuwepo ndio imetoka hivyo sijawahi experience hichi kitu nakumbuka tu zamani kama ni shortlist wanaandika pale kabisa
Ngoja nisubiri Ile received Kama itabadilika kuwa not shortlist au shortlist
Hii taasisi gani inajihusisha na nn hapa BongoNyingi tu mkuu
Kuna mtu leo kaniambia hao watu wapo 3, mmoja anafanyia kazi ofisi ya mikoani, wengine(2, mbaye mimi namfahamu 1) wapo ofisi ya Dar.
Tumewasindikiza, watoe tu matokeo mapema mimi nisepe zangu
Ndio mkuu.
Kuna PDF la shortlisted limeshushwa leo, saili zinaanza tarehe 24 hadi 29 septemba, 2022
Utumishi hawataki utani kabisa, Sasa hv ni Toa Weka, Sasa Utajua hujui.. umekwenda wiki hii kupiga pepa ya Bunge na wiki ijayo una saili nyingine.. utarudi kwenu au utaamua kupanga chumba Huko Dodoma[emoji16][emoji16].
Ukipigia mahesabu kuishi Guest unakuta 200,000/= hii hapa kwa ajili ya Guest tu, Kumbuka hyo ni cheap guest isiyozidi 10,000.
Haya wasaka Mirija ya Asali tusikate tamaa
Duuh NAOT huijui..?Hii taasisi gani inajihusisha na nn hapa Bongo
sio vitu vyote naweza kufuatilia,, we kama unajua unajibu si unalete Duuuh duuuuh zako hapo.Duuh NAOT huijui..
Hakuna kimakosa pale pdf zote ninazo za zinaonesha zimetoka Leo tar 7.. hyo ni issue ya Mtandao tu but soon zitarudi
Mimi ninazo PDF 2
Inategemea,kama sio mhasibu hawezi kuijua kiurahis.labda ungemtajia CAG ndio angeelewaDuuh NAOT huijui..?
CAG.. ukinitajia tu Hilo jina nakumbuka Prof, Juma Assad.... So naelewa vizuriInategemea,kama sio mhasibu hawezi kuijua kiurahis.labda ungemtajia CAG ndio angeelewa
Watu wamezituma huko juu, ebu angalia. Mimi kimeo hiki kinashindwa kupakiaMkuu, naomba kuzipata hizo mbili ulizonazo.
Asante.
Watu wamezituma huko juu, ebu angalia. Mimi kimeo hiki kinashindwa kupakia