Shortlisted muhimu sana bro[emoji23][emoji23][emoji23] ,,huwezi jua ya mbeleni ,,,unaweza kosa hii ukaangukia taasisi ingne ,,na ukatabasamu .... Kuna jamaa angu mmoja hv alifanyaga oral ya NHC bhana mwezi wa nne ,,kumbe alifaulu lkn hakupata lkn kaendelea na issue zingine mwezi wa 9 trh 27 pdf ikatema ya placement ya taasisi mbalimbal,katika kuichungulia nikakuta mwamba kala shavu halmashauri mmoja hv ,,jamaa nilimwambia akawa ka haamini hv ni kwel au ni vp ,,kwa hyo mwamba yupo kazini now na TGS E yake ,,huku pia akiwa amemalizia masters yake UD...maisha haya hayana formula aisee