Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Shortlisted muhimu sana bro[emoji23][emoji23][emoji23] ,,huwezi jua ya mbeleni ,,,unaweza kosa hii ukaangukia taasisi ingne ,,na ukatabasamu .... Kuna jamaa angu mmoja hv alifanyaga oral ya NHC bhana mwezi wa nne ,,kumbe alifaulu lkn hakupata lkn kaendelea na issue zingine mwezi wa 9 trh 27 pdf ikatema ya placement ya taasisi mbalimbal,katika kuichungulia nikakuta mwamba kala shavu halmashauri mmoja hv ,,jamaa nilimwambia akawa ka haamini hv ni kwel au ni vp ,,kwa hyo mwamba yupo kazini now na TGS E yake ,,huku pia akiwa amemalizia masters yake UD...maisha haya hayana formula aisee
Jamaa ana taaluma gani? Sociology au community development maana hawa wamekula sana shavu hapa kati....unaweza kuitwa kanzi data bila kupigiwa simu au alikua anakuchora tu?!
 
Wapambanaje wenzangu naomba mnipe direction hii kumbi inaitwa 'Udom- CBSL THEATRE 2" niko na jambo langu hapo kesho.
Mbarikiwe sana wapambanaji[emoji120][emoji120][emoji120]
Hongera sana mkuu.

Kama unatumia usafiri wa umma, ukishuka tu kwenye basi utakuta kuna bajaji na boda boda za kutosha. Ni wewe kuwaambia tu unaelekea wp.

Hawa madereva wanajua majengo yote ya hapo UDOM, nauli yake kwa boda ni buku ila sababu huwa wanaona watu wageni wanawaambia 1500-2000. Na kwa bajaji ni 500 mnapanda wa nne.

Wahi mapema sana kama mtihani ni asubuhi jitahidi saa moja uwe pale utakuta wenzio wengi pia hata bila kuuliza utajua tu kwan weng mtakuwa mnaelekea sehemu moja.

Kila la kheri ndugu.👊🏼👊🏼
 
Shortlisted muhimu sana bro[emoji23][emoji23][emoji23] ,,huwezi jua ya mbeleni ,,,unaweza kosa hii ukaangukia taasisi ingne ,,na ukatabasamu .... Kuna jamaa angu mmoja hv alifanyaga oral ya NHC bhana mwezi wa nne ,,kumbe alifaulu lkn hakupata lkn kaendelea na issue zingine mwezi wa 9 trh 27 pdf ikatema ya placement ya taasisi mbalimbal,katika kuichungulia nikakuta mwamba kala shavu halmashauri mmoja hv ,,jamaa nilimwambia akawa ka haamini hv ni kwel au ni vp ,,kwa hyo mwamba yupo kazini now na TGS E yake ,,huku pia akiwa amemalizia masters yake UD...maisha haya hayana formula aisee
Kuna jamaa pia namfahamu alifanyaga oral ya NHC mwezi huo na placement ya kanzi data alilamba asali RUWASA.

Kuna watu wana bahati sana, unakuta mtu mambo yashamnyokea, akipiga written anatusua, akienda oral anakuta imo na kuendelea na maisha yake taratibu.

Ila sisi wengine tunaoshindia maji ya kandoro,wengi wetu tunakandwa hadi tukandika kisawasawa kabla ya kutoboa, huku tukiacha utitiri wa madeni ya nauli za PSRS
 
Hongera sana mkuu.

Kama unatumia usafiri wa umma, ukishuka tu kwenye basi utakuta kuna bajaji na boda boda za kutosha. Ni wewe kuwaambia tu unaelekea wp.

Hawa madereva wanajua majengo yote ya hapo UDOM, nauli yake kwa boda ni buku ila sababu huwa wanaona watu wageni wanawaambia 1500-2000. Na kwa bajaji ni 500 mnapanda wa nne.

Wahi mapema sana kama mtihani ni asubuhi jitahidi saa moja uwe pale utakuta wenzio wengi pia hata bila kuuliza utajua tu kwan weng mtakuwa mnaelekea sehemu moja.

Kila la kheri ndugu.[emoji1363][emoji1363]
Hao boda/bajaj nauli huwa wanapandisha kiboya sana.

Niliwahi kuambiwa nauli ni buku kwa bajaj kutoka kwenye ile kona ya Utumishi hadi Asha Rose Migiro, nilikataa nikasema bora nipande boda kwa nauli hiyo ya buku.
 
Wakuu any ideas ya maswali ya written admission officer,msaada kwenye tuta
Niliona mdau katuma hapa(kama sijakosea), alikuwa ameandika kwenye karatasi akatuma picha,tafuta utayaona.

Pia pitia ule uzi wa maswali unaweza kuokota machache
 
Hongera sana mkuu.

Kama unatumia usafiri wa umma, ukishuka tu kwenye basi utakuta kuna bajaji na boda boda za kutosha. Ni wewe kuwaambia tu unaelekea wp.

Hawa madereva wanajua majengo yote ya hapo UDOM, nauli yake kwa boda ni buku ila sababu huwa wanaona watu wageni wanawaambia 1500-2000. Na kwa bajaji ni 500 mnapanda wa nne.

Wahi mapema sana kama mtihani ni asubuhi jitahidi saa moja uwe pale utakuta wenzio wengi pia hata bila kuuliza utajua tu kwan weng mtakuwa mnaelekea sehemu moja.

Kila la kheri ndugu.👊🏼👊🏼
Asante sana ndugu
 
Hao boda/bajaj nauli huwa wanapandisha kiboya sana.

Niliwahi kuambiwa nauli ni buku kwa bajaj kutoka kwenye ile kona ya Utumishi hadi Asha Rose Migiro, nilikataa nikasema bora nipande boda kwa nauli hiyo ya buku.
Kwani Kuna tofauti ya jengo/Maeneo kati utumishi na ofisi za dk Asha Migiro.?
 
Kuna jamaa pia namfahamu alifanyaga oral ya NHC mwezi huo na placement ya kanzi data alilamba asali RUWASA.

Kuna watu wana bahati sana, unakuta mtu mambo yashamnyokea, akipiga written anatusua, akienda oral anakuta imo na kuendelea na maisha yake taratibu.

Ila sisi wengine tunaoshindia maji ya kandoro,wengi wetu tunakandwa hadi tukandika kisawasawa kabla ya kutoboa, huku tukiacha utitiri wa madeni ya nauli za PSRS
Tusife moyo mwanangu Mwifwa ndio Maana tunasema ukibahatika kwenda oral ,jitahidi kutoboa au ikishindikana ndio tuangukie kanzidata ...japo muda mwingine usahili inategemeana na jinsi ulivyojiandaa na jinsi maswali uliyokutanayo na kuyakanda kwa kofindensi ,,ili ikitokea Upo kanzidata una marks nyingi iwe rahisi kutoboa siku za usoni ,,tujitahidi sana aisee
 
Naamini humu wengi tutakula shavu tu sio muda wala msiwe na hofu
 
Tusife moyo mwanangu Mwifwa ndio Maana tunasema ukibahatika kwenda oral ,jitahidi kutoboa au ikishindikana ndio tuangukie kanzidata ...japo muda mwingine usahili inategemeana na jinsi ulivyojiandaa na jinsi maswali uliyokutanayo na kuyakanda kwa kofindensi ,,ili ikitokea Upo kanzidata una marks nyingi iwe rahisi kutoboa siku za usoni ,,tujitahidi sana aisee
Inauma unafika oral na hutuboi dah maana kufika orala nyingne ni jambo gumu
 
Back
Top Bottom