Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe kuna majobless wana vitambi na hamsemi..
 
Kuna rafik angu alikaaga km week tatu iv anasubir wampigie...basi akiona simu inaita tu anawahi kupokea afu kumbe sio wenyew😅😅😅 alkua anakereka
 
Watakuwekaje kwenye placement through kanzidata bila kukupigia simu na muda mrefu unakua umepita? Utajuaje Kama umo?
Kuna brother wangu alikaa kwenye kanzidata then akapata kazi baada ya muda hivi. Ukapita muda na ikaja placement, na akaona kapata sehemu nyengine. Hii inaonyesha sio lazima wakupigie simu maana kama wangempigia kumuuliza basi wasingemuweka ile sehemu ya pili.
 
Hapa ilianza kanzidata kabla ya placement?
 
Sorry, aliwezaje kua kwenye pdf la kanzi data bila kupigiwa simu? Au alipigiwa akaamua akukatae Kama walamba asali wengi wanavyofanya
Sasa pdf ya placement imetoka ,,ni jukumu letu Kila siku kuangalia placement zilizo za kuita kazini taasisi mbalimbali Zinajumuisha na waliokanzi data, au mfano majuzi kuna pdf imetoka ni placement ya watu waliokuwa kanzidata pekee ka 54 hv ,,,unaweza jikuta usitegemee kupigiwa simu kk...japo ikitokea umepigiwa utaenda zote ni njia
 
Kweli CHA MUHIMU NI KUWA TUNAANGALIA PLACEMENT ZOTE ZINAZOTOLEWA HASA HASA HIZI ZINOITA WATU KAZINI ZA TAASISI MBALIMBALI ZINAKUWA ZINAJUMUISHA NA KANZIDATA,,UKIACHA KUANGALIA PLACEMENT UTAJIKUTAGA ULIPATA NAFASI KUMBE UKUANGALIAGA MUDA UKAPITA ,IKATUMWA KWENY SANDUKU LA POSTA YAKO ,LABDA AKUPATA BASI ,,,,ANAWEZA PATA MWINGINE LABDA ...TUWE TUNAANGALIA PLACEMENT DAILY U NEVER KNOW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…